Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa ommy hapigi mechi na pia hawamjui shemeji

Ommy dimpoz ameamua kuweka picha ya shem wetu wakiwa pamoja
Hata hivyo picha hiyo ilikuwa na emoji zenye ishara ya malovee lakini kitu kilichoshangaza wengi ni Ommy kublock comment katika picha hiyo,,yani picha hiyo huwezi ku°° comment
1481556806835.jpg
 
Hahahaaaaaa kawakomeshaje wambea wa mtaa wa pili?
Picha tu comment yako baki nayo kama ni bomu likuue mwenyewe.

Ila simuungi mkono katika hilo,angeendelea kuwa yeye kama yeye na sio kuweka picha akiwa na mpenziwe (kama ndiye) kisa watu wanasema.

No matter what,ni vizuri kubaki wewe,na sio wewe wa kutengenezwa na maneno ya watu.
Period
 
Mbona hajiamini?? Mimi hizi reaction zake ndio zinanifanyage kiasi fulani niamini labda hizi tuhuma zina kijiukweli Fulani..

Yani akiambiwaga tu anapu**liwa anapaniki anaanza kurusha vipicha na videmu..

Kipindi kile Nay wa mitego kamchana jamaa alipaniki akatoa bonge la povu alafu akaweka video na kale kademu kazungu sijui halfcast..
Baada ya lile timbwili kutulia hatujaona picha nyingine zozote na yule demu..

Sasa hivi tuhuma zimeanza upya, jamaa ameanza tena vipicha vyake na videmu!!

Kama tuhuma hazina ukweli why anahangaika sana kuprove ni "mzima"??
 
ameandika wapi kuwa ni mtu wake?

Kama kaandika basi itakuwa si hapo kwenye picha na kilichopo ni imaginations tu za watu ambao wana obsession na maisha yake binafsi.

Sielewi kwa nini watu wanakuwa na raghba ya kutaka kujua analala na nani.
 
Mbona hajiamini?? Mimi hizi reaction zake ndio zinanifanyage kiasi fulani niamini labda hizi tuhuma zina kijiukweli Fulani..

Yani akiambiwaga tu anapu**liwa anapaniki anaanza kurusha vipicha na videmu..

Kipindi kile Nay wa mitego kamchana jamaa alipaniki akatoa bonge la povu alafu akaweka video na kale kademu kazungu sijui halfcast..
Baada ya lile timbwili kutulia hatujaona picha nyingine zozote na yule demu..

Sasa hivi tuhuma zimeanza upya, jamaa ameanza tena vipicha vyake na videmu!!

Kama tuhuma hazina ukweli why anahangaika sana kuprove ni "mzima"??
Huu ni udhaifu mkubwa sana,ipo siku watu watazusha hana nyeti...
Sijui ataweka picha ya nyeti zake?

Nashangaa watu wanasema hakuna uhakika wa kama huyo ni mwanamke wake, tokea lini Ommy akaweka picha akiwa na mwanamke Instagram?
Hili ni jibu kwa wanaomsema anapumuliwa.

Fine tuseme sio mwanamke wake kweli,bado haiondoi maana ya kwamba kawajibu wanaomtuhumu...
Kinachomatter hapa ni response...
Ambayo ndilo kosa lenyewe.
 
Back
Top Bottom