Hatimae niko kazini! Shukrani kwa wote mliohusika mpaka mimi kupata kazi

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,111
11,837
Ni mengi nimeyapitia hapo kati, maana walitokea wengi, wakasema mengi

Wote walisema kwa kubahatisha, huku wakijipa uhakika na kujiaminisha wao kwa wao kuwa mimi ni 'Tapeli'.

Sawa, yawezekana walikuwa sahihi, kutokana na historia zao walizoziweka vichwani mwao. Nilipokuwa naomba kusaidiwa, wengi walijua ni 'wale wale matapeli' kumbe hapana, nilikuwa nahitaji kusaidiwa kweli.

Ila mwisho wa yote nimepata nilichohitaji.
Shukrani kwa wote mliohusika mpaka mimi nimefanikiwa kupata kazi.
13 mega pixel shukrani sana kaka (huyu jamaa ni handsome flani "ameizing"). Bila kumsahau Mama yangu mzazi kabisa Shunie.
Na jamaa kwa jina Wilo12 ila huyu Wilo12 nina mashaka na msaada wake.

Na member wengine wote mlionisaidia ila hamkutaka mjulikane.
Bila kumsahau ndugu Kurunzi. Huyu Kurunzi ndiyo ameniunganisha na jamaa mwenye kazi!
Bila kumsahau mama yangu cute b na @Min29 na wengine wote. Jamaa wa magari 7 shukrani sana! Nimesaidiwa na wengi, ila mkitaka niwataje wote, mniambie niendelee kwa hapo chini!
 
Back
Top Bottom