Hatimae Mungu katenda miujiza kwangu, nimepata ajira

navigator msomi

Senior Member
May 8, 2018
156
167
Hellow.!jf members.....kwanza nianze kwa kutanguliza shukurani zangu kwenu kwa uvumilivu na ushauri juu yangu tangu enzi zile nalia sana sina ajira.

Napenda kuwataarifu Kua namimi Leo nimebahatika kupenya kwenye hizi ajira ndogo za serikali.

Nachowaomba ndugu zangu, mnisaidie ushauri tena ni vitu gani nivizingatie soon after starting working ili niweze kupata mafanikio zaid katika kazi na maisha kwa ujumla.

Natumain wana jamii mtanielekeza.....ASANTENI
 
Hellow.!jf members.....kwanza nianze kwa kutanguliza shukurani zangu kwenu kwa uvumilivu na ushauri juu yangu tangu enzi zile nalia sana sina ajira.

Napenda kuwataarifu Kua namimi Leo nimebahatika kupenya kwenye hizi ajira ndogo za serikari.

Nachowaomba ndugu zangu, mnisaidie ushauri tena ni vitu gani nivizingatie soon after start working ili niweze kupata mafanikio zaid katika kazi na maisha kwa ujumla.

Natumain wana jamii mtanielekeza.....ASANTENI
Hongera,...pia kaendelee kujielimisha kuandika vizuri lugha adhimu ya kiswahili kwa mfano serikali na sio serikari...pia kiingereza unaweza kuachana nacho maana kinakupiga chenga nashauri uendelee kujifunza kiswahili zaidi.
Kila la kheri.
 
Thanks kamanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom