Hatimae maandishi ya uwanja wa ndege wa kigoma yafutwa kuficha aibu ya kiingereza

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
HATIMAE MAANDISHI YA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA YALIOLETA MKANGANYIKO KWENYE LUGHA YA KINGEREZA YAMEFUTWA HUKU WAKINGALIA KWENYE DICTIONARY NINI KINACHOTAKIWA KUANDIKWA KISILETE AIBU TENA UONGOZI WA UWANJA UMEWAOMBA RADHI ABIRIA WOTE WALIOPITA SEHEMU HIYO NA KUSEMA WAMEAMUA KUSAFISHA NA KUSUBIRI WAHUSIKA WAANDIKE MENGINE...

PICTURE.JPG

hivi hawakuweza kuchungulia kwenye kamusi maneno yanaandikwaje?

Kama inabidi meneja wa uwanja akaangalie kwenye kamusi namna maneno yale yanavyoandikwa, basi hastahili kuwa kwenye hiyo nafasi. ni maneno ya kawaida mno kuangaliwa kwenye kamusi.

Ha haa... exposing dirty does help!

Au wamefotoshop?!
hapo kwenye red...hawana uwezo wa kufanya photoshop kama wameshindwa kugundua spelling errors. hata hivyo nadhani hiyo kazi ya kuandika walimpa mkongomani ndio maana akaandika katika mtindo wa kifaransa...kazi kwelikweli!!!

Hii ni fotoshop, nimetoka uwanjani sasa hivi na maandishi yapo.

kama bado yapo basi hao wafanyakazi wa uwanja waliosema yamefutwa basi ni wajinga...wanadhani wanamkomoa nani kwa kutuambia uwongo? shame on them....
Hii ni fotoshop, nimetoka uwanjani sasa hivi na maandishi yapo.

HATIMAE MAANDISHI YA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA YALIOLETA MKANGANYIKO KWENYE LUGHA YA KINGEREZA YAMEFUTWA HUKU WAKINGALIA KWENYE DICTIONARY NINI KINACHOTAKIWA KUANDIKWA KISILETE AIBU TENA UONGOZI WA UWANJA UMEWAOMBA RADHI ABIRIA WOTE WALIOPITA SEHEMU HIYO NA KUSEMA WAMEAMUA KUSAFISHA NA KUSUBIRI WAHUSIKA WAANDIKE MENGINE...

PICTURE.JPG
E bwana hii kali, mie nilidhani ilikuwa photo editing!

Kwa hiyo wafanyakazi wamekuambia kuwa yamefutwa?-source plz.
kama bado yapo basi hao wafanyakazi wa uwanja waliosema yamefutwa basi ni wajinga...wanadhani wanamkomoa nani kwa kutuambia uwongo? shame on them....

HATIMAE MAANDISHI YA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA YALIOLETA MKANGANYIKO KWENYE LUGHA YA KINGEREZA YAMEFUTWA HUKU WAKINGALIA KWENYE DICTIONARY NINI KINACHOTAKIWA KUANDIKWA KISILETE AIBU TENA UONGOZI WA UWANJA UMEWAOMBA RADHI ABIRIA WOTE WALIOPITA SEHEMU HIYO NA KUSEMA WAMEAMUA KUSAFISHA NA KUSUBIRI WAHUSIKA WAANDIKE MENGINE...

PICTURE.JPG

Huu ni mlangowa Airport au wa Choo? Pdidy hujapiga picha kwenye Choo chako?

nilipita pale nikawasiliana NA ALIEDRAFT maandishi yake, akasema anajuta kutumia Google search Engine, hahahaaaah habari ndio hiyo bandugu.

Mkuu airtanzania nenda issamichuzi tuliwatumia ile picha ya maandishi naona wakafwatilia wametumiwa hiyo na kupigwa mikwara ati ilishafutwa sikunyingi wakati watu wamepiga majuzi

wekeni hapa hiyo ya zamani ili tupate ona tofauti. Ukija na nguo safi kisha ukaniambia hii ilikuwa chafu siwezi kukadiria kiwango cha uchafu; lakini ukinionesha nguo chafu kisha ukaifua nitaelewa nini maana ya thread hii

HATIMAE MAANDISHI YA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA YALIOLETA MKANGANYIKO KWENYE LUGHA YA KINGEREZA YAMEFUTWA HUKU WAKINGALIA KWENYE DICTIONARY NINI KINACHOTAKIWA KUANDIKWA KISILETE AIBU TENA UONGOZI WA UWANJA UMEWAOMBA RADHI ABIRIA WOTE WALIOPITA SEHEMU HIYO NA KUSEMA WAMEAMUA KUSAFISHA NA KUSUBIRI WAHUSIKA WAANDIKE MENGINE...

<img src="http://3.bp.blogspot.com/-o62RrEZbEE0/TmlRNahtUvI/AAAAAAABucU/l13NIcVZpZw/s1600/PICTURE.JPG" border="0" itakuwa wamechungulia jf wakaona makosa yao then...... teh! teh! teh! teh!

Back
Top Bottom