Hatimae "M" wengine waanza kujitokeza

kichinjio

Member
Jul 11, 2013
63
28
Kweli "kikulacho ki nguoni mwako"

Baada ya MM, MI, M2 na M3 kujulikana hatimaye "M" wengine waanza kujitokeza na kutoa matamko yanayo pingana na maamuzi ya chama na yaliyo ya wengi ambapo kwa mtu mwenye akili unaweza kujiuliza, je hawa wote walikuwa kundi moja nini? je huu sasa ni wakati wao wakutoa na kuonyesha makucha yao? Ama pengine huu ni muda mwafaka wa chama kuwafahamu wale wote wasio na mapenzi ya dhati kwa chama na wanaotumika kukivuruga chama?

Kwa kweli nabaki najiuliza maswali bila majibu, lakini nasema sitovunjika moyo, sitarudi nyuma na nitasonga mbele daima na kuamini katika mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa Taifa hili na vizazi vyake vijavyo.
 
Sisi tunawafahamu hadi K1-K10 na MK1 hadi MK30, hawana lolote ni watu wepesi sana... Hakuna hata mmoja au kwa ujumla wao anaweza kuhimili kishindo cha mtu kama Kamanda Lema au Msigwa.
 
Hao MM wote wanaofadhiliwa na magamba, wanatakiwa kujiuliza swali moja,"Mbona magamba wanaowatuma hawafanyi jitihada zozote za kuleta mabadiliko na demokrasia ya kweli katika nafasi ya umwenyekiti wao wa CCM ambayo imafanywa usultani na haishindaniwi?" yaani CCM wanaweza kuelimisha ulimwengu wa demokrasia kwa nini umwenyekiti wao unakuwa wa kidikteta? kwa nini tangia uhuru mwaka 1961 wamekuwepo wenyeviti wanne? CCM watoke sasa na kutueleza kwa nini nafasi ya uenyekiti inakuwa ni ya kidikteta?
 
Mimi natoa changamoto kwa wanaojifafanya kuitetea demokrasia katika vyama vya wenzao kama Mwigulu kumgeukia mwenyekiti wake na kumuuliza swali dogo," Mheshimiwa mwenyekiti, hivi ulishindana na nani vile katika uchaguzi wa uenyekiti wako?" akishajibiwa ninaamini atarudi hapa jamvini kutuletea majibu. Mh. Mwigulu hadhira inakusubiri
 
Fukuza fukuza fukkuza tu! Na waende, muasi yoyote aende tu ili chama kiende sawa hata kama ktk chama tutabaki wawili waadirifu tulitee taifa mpaka mwisho.

Body without head
 
Mimi natoa changamoto kwa wanaojifafanya kuitetea demokrasia katika vyama vya wenzao kama Mwigulu kumgeukia mwenyekiti wake na kumuuliza swali dogo," Mheshimiwa mwenyekiti, hivi ulishindana na nani vile katika uchaguzi wa uenyekiti wako?" akishajibiwa ninaamini atarudi hapa jamvini kutuletea majibu. Mh. Mwigulu hadhira inakusubiri

nimeipenda
 
Attachments

  • A%20S%20thumbs_up.gif
    A%20S%20thumbs_up.gif
    1.1 KB · Views: 2,373
Kama nafasi ya uenyekiti ndani ya CCM ni ya kihafidhina, haijadiliwi, haipingwi, haishindaniwi, haifanyiwi mahojiano, kwa nini CCM wasiendelee na slogan ya zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata kama fikra hizo ni majanga?
 
Ndio ufinyu wako wa fikra umeishia hapo?
 
Sisi tunawafahamu hadi K1-K10 na MK1 hadi MK30, hawana lolote ni watu wepesi sana... Hakuna hata mmoja au kwa ujumla wao anaweza kuhimili kishindo cha mtu kama Kamanda Lema au Msigwa.

lema chakula ya watu wewe,acha kumtaja taja,anakalia kigogo dar.
 
Kama nafasi ya uenyekiti ndani ya CCM ni ya kihafidhina, haijadiliwi, haipingwi, haishindaniwi, haifanyiwi mahojiano, kwa nini CCM wasiendelee na slogan ya zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata kama fikra hizo ni majanga?

kwa hiyo chadema kinaiga mfumo wa ma ccm?
 
Kama nafasi ya uenyekiti ndani ya CCM ni ya kihafidhina, haijadiliwi, haipingwi, haishindaniwi, haifanyiwi mahojiano, kwa nini CCM wasiendelee na slogan ya zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata kama fikra hizo ni majanga?
Elfu mbli na tano ylimpata mzee malecela Mkapa alitoa kiti akamwabia inatosha jina tumeliondoa kwenye kinyang'anyiro mzee wa watu ikabidi anywee, Kikwete akapeta demokrasia iko watu mwenyekiti waCCM ni mangi meza Kikwete hakumruhusu kamwe Stta kugombea tena Uspika alimwambia ni amuya wanawake hiyo ndio nafasi ya iditeta ya CCM
 
kuongoza kwa udikteta maana yake ni kuongoza bila kuchaguliwa kwa mfumo huru, wa wazi na wa ushindani, JK alifuta mfumo huo? na kama hakuufuata yeye ni nani?

Kama sijakosea swali liliulizwa hivi, kwahiyo CHADEMA kinafata mfumo wa ma ccm. Hilo jibu nahisi hali husiani na swali hilo.
 
Back
Top Bottom