hatimae leo nimebahatika kukaa na kuongea na shoga chobingo

MIA tayari ushakuwa Mkameruni mpaka hapo,enhe huyo mvaa magwanda yuko office gani tena? Hii nchi ishafika mahali pabaya kabisa
 
Nilichokiona kwake ni kwamba yeye anatamani kuwa mwanamke/anawaonea wivu walio umbwa kike.choo anaingia choo cha kike, anakua kwenye siku zake kama mwanamke tofauti ni damu tu, hata kucheza mziki anacheza kama mwanamke/anakata mauno, hapendi ugali,yeye anapenda chips mayai kuku na soseji, hupenda kutoa sauti nyororo, hapendi umuite jina lake la kiume huwa wanajibadilisha majina.cha ajabu ni mfanya kazi serikali kikosi cha kanda maalum ya dar na anatoka zanzibar.nimechoka mwenzenu na huyu mbaba. mia

Kwa hiyo hiyo ndio. BAHATI yako?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom