hatimae leo nimebahatika kukaa na kuongea na shoga chobingo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hatimae leo nimebahatika kukaa na kuongea na shoga chobingo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by figganigga, Nov 19, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Nilichokiona kwake ni kwamba yeye anatamani kuwa mwanamke/anawaonea wivu walio umbwa kike.choo anaingia choo cha kike, anakua kwenye siku zake kama mwanamke tofauti ni damu tu, hata kucheza mziki anacheza kama mwanamke/anakata mauno, hapendi ugali,yeye anapenda chips mayai kuku na soseji, hupenda kutoa sauti nyororo, hapendi umuite jina lake la kiume huwa wanajibadilisha majina.cha ajabu ni mfanya kazi serikali kikosi cha kanda maalum ya dar na anatoka zanzibar.nimechoka mwenzenu na huyu mbaba. mia
   
 2. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwahiyo mkuu umetumia mtandao watigo leo?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mwache tu, mbona tunapokea misaada ya uk?
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Figaniga uliwahi kuhisi huyo jamaa ni choko hadi ukapelekea kumhoji hayo yote?
   
 5. p

  pinokio New Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fafanua anakuwa kwenye siku zake kivipi?
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu.ila siku yoyote nikitaka kasema yupo free na hamuogopi mtu. yeye anasema kila mtu anaishi atakavyo na hapa mjini kila mtu na maisha yake.eti kaniambia "sweetie kila mtu ana ulevi wake halafu inaonekana we mtamu" haa..!!.nikastuka.mia
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ni kweli,wazungu anawasifia kinoma.anasema wafrica si chochote si lolote, wanadai sisi tunatenda dhambi bila kuangalia maovu yao. kwa Mungu hamna dhambi kubwa wala ndogo.mia
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mkuu wanajulikana.hasa ikifika jioni utawatambua kwa matendo yao ya kike.jinsi wanavyobehave na kila kitu.mia
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  alivyo nielekeza nimeamin kweli na wao wanakua kwenye siku zao.siwezi kuandika hapa labda jukwaa la wakubwa.mia
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Disgusting!
   
 11. J

  Jahnido Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo mkuu una mpango gani na huyo "shost" umeridhia ombi la kumcameroon masaburi?
   
 12. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,929
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  khe khe! Figa ina maana unaunga mkono kina cameroon?mia
   
 13. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,929
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  Totally disgusting! Hujambo rafiki?
   
 14. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mkuu mia, mi sijaelewa hapo juu yeye ni mwanaume anakuwaje anapata "mp" kama wanawake??:shock:
   
 15. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  :lol:Tunaomba basi ukatuwekee kwenye jukwaa la wakubwa ili tujue ni kwa vipi hili huwatokea plsssss
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Mkuu nini kilchokuvutia hadi ukaamua kumuhoji?

  Mimi huwa sitaki hata wanikaribie. Nawaona kama najisi. Mia
   
 17. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Umemsaidiaje sasa? Mbona umesimulia nusu nusu
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mzee wa mia ushanasa wewe kwa muingereza hadi umekuja kutuadithia..
   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mia! Figga leo ulikuwa wapi ndugu yangu, duh! Hii hatari sana kaka,ulipwaswa kumkemea kirohoroho kama unakemea pepo. Usirudie tena hiyo kitu,kwanza jamii inayokufahamu haijakuona naye? Manake ukionekana unaongozana na shoga ni mawili tu huja kichwani mwa watu
  1 unaenda kumla kiboga
  2 nawe ni shoga unaliwa kiboga hivyo mnaelekea kutifuliwa au mpo mawindoni.
   
 20. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #20
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mia! Figga leo ulikuwa wapi ndugu yangu, duh! Hii hatari sana kaka,ulipwaswa kumkemea kirohoroho kama unakemea pepo. Usirudie tena hiyo kitu,kwanza jamii inayokufahamu haijakuona naye? Manake ukionekana unaongozana na shoga ni mawili tu huja kichwani mwa watu
  1 unaenda kumla kiboga
  2 nawe ni shoga unaliwa kiboga hivyo mnaelekea kutifuliwa au mpo mawindoni.
  MIA
   
Loading...