Hatimae Jide kimeeleweka

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,850
Ile show ya Jide ambayo itatawaliwa na anaconda style sasa kimeeleweka baada ya prof J na Juma Nature kuthibitisha kwamba watamuunga mkono na kupiga nyimbo zao zote ambazo mashabiki wataomba wapigiwe.

Vilevile tiketi zimeongezwa nyingine baada ya zile za kwanza kuisha. vilevile show itapigiwa pale parking baadala ya ndani ambapo pameonekana ni padogo kulingana na tiketi zilizo katwa.

Nakutakia mafanikio mema Jide. mia
 
Soon Nature atahamia kwenye wapinga dhulma na unyonyaji,Nature anamshinda busara na upeo MwnaFAtuma!!!
 
Ule show ya jide ambayo itatawaliwa na anaconda style sasa kimeeleweka baada ya prof J na juma nature kuthibitisha kwamba watamuungamkono na kupiga nyimbo zao zote ambazo mashabiki wataomba wapigiwe. Vilevile tiketi zimeongezwa nyingine baada ya zile za kwanza kuisha. vilevile show itapigiwa pale parking baadala ya ndani ambapo pameonekana ni padogo kulingana na tiketi zilizo katwa. nakutakia mafanikio mema jide. mia

Watapigiaje nje wakati hicho kimgahawa kipo kwenye residential area?
 
Vyovyote vile mama some food (jaydee aka anaconda) sisi tutakuunga mkono tuu. Joto hasira ndo mpango wa jiji weekend hii.!!!!
 
Haaa team anaconda umetisha tickets zimeisha hadi umeongeza nyingine wakati mwanaFAtuma huku anapumulia mashne ticket zimedoda lol
 
Sijawahi kumwona jide lakini naposikia mtu anadhulumiwa nafsi yangu huwa upande wake poor cloudz!
 
Chondechonde NATURE aelimishwe umuhimu wa show,na mavazi.
Watu wamelipia hela nyingi. Asije akapanda onstage na Ndala kwa jinsi alivyo na Makuzi.
 
Nilikua nampenda sana mwana fa lakini now,amenivunja moyo sanaa.plz fa kuitetea ccm na uonevu ni kujichafua.kwani walipo wengi usielekee huko?wapi elimu yako?shitukaa hongera jide juma nature profesa jey,sugu na wajanja woote
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom