figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,491
- 54,884
Ile show ya Jide ambayo itatawaliwa na anaconda style sasa kimeeleweka baada ya prof J na Juma Nature kuthibitisha kwamba watamuunga mkono na kupiga nyimbo zao zote ambazo mashabiki wataomba wapigiwe.
Vilevile tiketi zimeongezwa nyingine baada ya zile za kwanza kuisha. vilevile show itapigiwa pale parking baadala ya ndani ambapo pameonekana ni padogo kulingana na tiketi zilizo katwa.
Nakutakia mafanikio mema Jide. mia