UTEUZI: Hatimaye Hassan Ngoma ateuliwa kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,306
Hatimae Hassani Ngoma Wa Clouds Tv ateuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya Singida.

Uteuzi huo umefanywa na Waziri Mkuchika kwa Mamlaka aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.

1594056957853.png
 
Salaam.

Habari zilizonifikia hivi punde zinasema Hassan Ngoma mtangazaji wa Clouds kipindi cha 360 ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Singida.

Hawa jamaa ndio waliokuwa wanalazimisha kuuaminisha umma kwamba Mh. Mbowe mwenyekiti wa Chadema amewakimbia kwa ajili ya mahojiano nae, kumbe walikuwa wanatafuta kitu waonekane na watawala, sasa ameshakipata alichokuwa anakitafuta.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom