Hatimae fomu ya rufaa ya Mgombea Ubunge Jimbo la Korogwe Vijijini kupitia CHADEMA, Bi. Amina Ally Saguti imepokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya

Yaani hawa baraza la vichaa la chadema, wamebaki na kubwabwaja kwenye social network, lakini wakienda kwenye field battle wanaishia kupokea kipigo cha mbwa mwizi. Na wanabaki kutafuta sympathy Kwa wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee vijana wa baraza la vichaa la chadema huwa mnajua kujitoa ufahamu?? Hebu uje ujaribu kufanya hivyo ndivyo utajua maana ya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna mbwa yeyote wale polisi au jeshi lenye nguvu dhidi ya wananchi hawajaamua tu siku wakiamua yule mwenye moyo waplastic atazikwa kwenye tundu la panya
 
Ubalozi wa marekani hauna haja tena ya kutoa ushahidi wa figisu za chaguzi hapa nchini kama walivyodai NEC, kwani huyu msimamizi wa uchaguzi korogwe keshamwaga ushahidi hadharani.
 
Ule msemo wa kujitekenya na kucheka mwenyewe unatimia sasa. MACHADEMA yanajitekenya na kucheka yenyewe.

Mkuu wasipokulipa posho lumumba andamana, manake umejitoa akili kiwango cha Drimulaina
 
Makene hapo ni sawa na kuahirisha maumivu tu au ule usemi wa kuanua ngoma juani kama huyo msimamizi ndiye anategemewa kumtangaza mshindi unategemea atamtangaza huyo diwani wetu hata kama atashinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kumtangaza psychologically ni kuwaonya wanafuata, ukiacha kimya watageuza ndio means ya kushindia vita na hata kuwa njia ya kuwashawishi wengine waunge mkono ya Magustone
 
Back
Top Bottom