Hatimae fomu ya rufaa ya Mgombea Ubunge Jimbo la Korogwe Vijijini kupitia CHADEMA, Bi. Amina Ally Saguti imepokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya

Senator John McCain amefariki jana na hakuna uchaguzi. Governor wa Arizona kwa mujibu wa katiba anatakiwa kuteua senator mwingine na maisha yanakwenda.
Hakuna kupoteza pesa za walipa kodi
Tujifunze
 
Back
Top Bottom