Hatimae "Faru John" aonekana mbugani

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
"Faru John" ni miongoni mwa faru wababe sana kuwahi kutokea duniani.. Sifa kubwa ya huyu Faru ni alikuwa akimiliki majike yote yaliyokua katika creta ya Ngorongoro... Hivyo mbele ya "Faru John" hakuna faru dume yoyote aliyethubutu kusogea mbele ya anga zake.

Baada ya kuteteleka kidogo, katika mechi 2 zilizopita za VPL.. Unaweza kusema "Faru John" wa mbuga ya VPL hatimae karejea katika ubora wake.. naye si mwingine bali ni Simba S.C.

"Faru John" akiwa ndani ya mazoezi makali kwa muda wa wiki 2 mpaka sasa.. jana alitoa statement kali. Hii ni baada ya kujipima nguvu na Polisi Moro, ambapo aliwadungua bila huruma goli mbili kavu, wafungaji wakiwa Banda na Ajibu. Huyu Ajibu kawaongozea tena kazi wanasayansi wetu.. Kwani kipindi bado wanalijadili lile goli la kichuya, Ajibu jana katupia kambani goli ambalo si la karne hii.

Lile soka maridadi sana ambalo lilitandazwa jana, sitalizungumzia kwa sasa. Japo si kipimo sahihi, ila kwa leo ningependa kuzungumzia haya mawili;

1. Daniel Agyei toka nchini Ghana ni bonge la kipa.. Anajua kujipanga akiwa golini, anajua kuwapanga mabeki wake, pia anaongea sana uwanjani tofauti na bwana yule. Honestly kwa mechi ile ya jana sikuona tofauti kati ya Maneur Neur wa Bayern na Daniel Agyei wa Simba.

2. Ile mido hatari kabisa kutoka nchini Ghana, James Kotei ni habari nyingine kabisa.. Japo jana alipewa dakika chache uwanjani, ila zilitosha kuudhihirishia uma uliofiurika uwanja wa Jamuhuri, ni kwa jinsi gani anaujua mpira. Huyu jamaa ni fundi hadi kero. Wale wakata miwa sijui wakata umeme mjipange vyema, kiboko yenu kapatikana.

Hadi kuanza mzunguko wa pili wa VPL mnamo tarehe 17.12.2016 "Faru John", atakua kashacheza mechi tatu za kirafiki.. Na kila mechi itakua na uzito wake.. nami nipo makini na timamu kabisa kuwaletea kila kitakachojiri.
ANGALIZO; mwenye mbuga karejea.. wapinzani kaeni chonjo.
 
nilikujjaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbio sanaaaa nikajuaaaaaaa FARU JOHN nliyezionaaaaa pembe zake leo hii kaonekanaaaaaa mbuganiiii
 
Huu mwaka nne ligi ikianza anakuwa ni Simba. Mzunguko wa pili taratibu ameanza kuwa Faru. Mwisho wa msimu, kama kawa, kama dawa anaishia kuwa nyau !
 
"Faru John" ni miongoni mwa faru wababe sana kuwahi kutokea duniani.. Sifa kubwa ya huyu Faru ni alikuwa akimiliki majike yote yaliyokua katika creta ya Ngorongoro... Hivyo mbele ya "Faru John" hakuna faru dume yoyote aliyethubutu kusogea mbele ya anga zake.

Baada ya kuteteleka kidogo, katika mechi 2 zilizopita za VPL.. Unaweza kusema "Faru John" wa mbuga ya VPL hatimae karejea katika ubora wake.. naye si mwingine bali ni Simba S.C.

"Faru John" akiwa ndani ya mazoezi makali kwa muda wa wiki 2 mpaka sasa.. jana alitoa statement kali. Hii ni baada ya kujipima nguvu na Polisi Moro, ambapo aliwadungua bila huruma goli mbili kavu, wafungaji wakiwa Banda na Ajibu. Huyu Ajibu kawaongozea tena kazi wanasayansi wetu.. Kwani kipindi bado wanalijadili lile goli la kichuya, Ajibu jana katupia kambani goli ambalo si la karne hii.

Lile soka maridadi sana ambalo lilitandazwa jana, sitalizungumzia kwa sasa. Japo si kipimo sahihi, ila kwa leo ningependa kuzungumzia haya mawili;

1. Daniel Agyei toka nchini Ghana ni bonge la kipa.. Anajua kujipanga akiwa golini, anajua kuwapanga mabeki wake, pia anaongea sana uwanjani tofauti na bwana yule. Honestly kwa mechi ile ya jana sikuona tofauti kati ya Maneur Neur wa Bayern na Daniel Agyei wa Simba.

2. Ile mido hatari kabisa kutoka nchini Ghana, James Kotei ni habari nyingine kabisa.. Japo jana alipewa dakika chache uwanjani, ila zilitosha kuudhihirishia uma uliofiurika uwanja wa Jamuhuri, ni kwa jinsi gani anaujua mpira. Huyu jamaa ni fundi hadi kero. Wale wakata miwa sijui wakata umeme mjipange vyema, kiboko yenu kapatikana.

Hadi kuanza mzunguko wa pili wa VPL mnamo tarehe 17.12.2016 "Faru John", atakua kashacheza mechi tatu za kirafiki.. Na kila mechi itakua na uzito wake.. nami nipo makini na timamu kabisa kuwaletea kila kitakachojiri.
ANGALIZO; mwenye mbuga karejea.. wapinzani kaeni chonjo.
Nashukuru kwa kunipotezea mda.
 
Vipi leo Faru jike nasikia ameshindwa kutafuna miwa na yule Mghana wamemtoboa tobo
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom