Hatimae Essien awasili

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Atlast Essien amewasili Angola kujiunga na wenzie kule Angola baada ya kukosa flight ya kuja Angola kutokana na Mabadiliko ya hali ya hewa uko UK.
Source:DSTV via super sport ch 2 at 23:33 on the 13jan 2010 mara baada ya game ya Tunisia na Zambia kutoka draw
 
Back
Top Bottom