Hatimae Analog kurejea

Malyakishu

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
1,968
2,344
Jaman nimeskia tetes zasema analogy tv znarud kuanzia tarehe 1jan2016 so mitambo itaanza fnya kazi km kawaida
:source gvt admn
 
ungejua mpango wa kuanzishwa digital ulivyo usingeandika hii habari hapa, mpango wa watu huu kutokea zion
 
Analogy kurudi ni upuuzi usiovumilika, dunia inasonga mbele sisi iweje turudi nyumba?????
 
Dah kumbe unaongelea tv. Nimeshtuka sana. Huwezi kupata digital signal/quantity kwenye maisha yetu. Digital hutumika kwenye processing tu.
 
Back
Top Bottom