Hatima ya Vyama vya Siasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatima ya Vyama vya Siasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Nyerere, Dec 22, 2011.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Wadau,wazo hili limeniijia;kwamba,hatima ya vyma vya siasa itakuwa ipi katika EAC? Je ina maana kwamba CCM inapaswa kwenda Nairobi kufungua tawi,na ODM inapaswa kuja Dar es Salaam kufungua tawi;kwamba vyama vyote,yaani CHADEMA ,CUF,na vyama vingine vitafungua matawi kila pahali Afrika Mashariki? Halafu pia South Sudan na Sudan wanataka kujiunga na EAC. ina maana kwamba SPLM itapiga hodi hapa,au Salafists wa Sudan watakuja hapa. Nasema hivi kwa sababu,kwa mfano Marekani utaona kwamba Democrats wapo New York,na Alaska,hali kadhalika Republicans wapo kila pahali Marekani. Ina maana Katiba lazima irekebishwe ili KANU iweze kuja Dar kuanzisha tawi,isipokuwa by that time haitaitwa KANU tena. Naona hapa katika hii Dunia this has been a weakness,tatizo ambalo linazuia International cooperation,kwamba zipo multinationals going veyong borders,zipo dini going beyond borders;lakini we don't permit political parties to go beyond borders. Kwa nini Democrats au Republicans au United Russia Party wasiweze kwenda beyond borders? United Nations wanapaswa kurekebisha Katiba ili mambo haya yawezekane. Naomba kutoa hoja.
   
Loading...