Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,930
- 2,554
Wakuu naomba kujulisha mwenye updates za madiwani wa ccm waliotishia nyau nape akanywea kama wametimuliwa au kapotezea ile ishu yao...!!??
Napata wasiwasi kama wameshindwa kwa madiwani,wataweza kuwatimua mawaziri...? Na kama watawatimua mawaziri basi wanaogopa kuwafukuza madiwani kwakuwa itawalazimu kuingia kwenye uchaguzi,kitu wanachokiogopa mpaka kesho kupambana na CHADEMA..
Nawasilisha..