Cha Ukwee
Member
- Dec 17, 2010
- 31
- 0
...mapenzi-mapenzi-mapenzi....samahini wana jf?? Heshima na iwe nanyi nyote...
...sihitaji kutoa maelezo mareeeeeeeeefu ya tumetoka wapi na huyu mpenzi wangu bali naona bora niweke ubaoni kusudio lengwa la maandishi haya...
Kifupi na mpenzi wangu ni muda mwingi sasa tupo pamoja...
Lakini pamoja na huo muda mwingi chakushangaza anawapa muda mwingi wa kukaa na kuongea marafiki zake kuliko mimi mbaya marafiki wenyewe ni wakiume leo huyu kesho yule...
...kutwa kaenda na huyu hapa au kaenda na yule pale,je?
1.hiii ni sawa?
2.hawa ni marafiki tu?
3.kwanini mimi anipi muda nikiwa kama mpenzi wake?
......mwisho yeye mkali sana akijua na urafiki au nachat na rafiki yangu wa kike kiasi kwamba mara nyingi utupasa kuwapigia simu hao wasichana na kuthibitisha kama ni madem wangu au laaa....
aksnteeeeeeni.