Hati za Muungano ndio hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hati za Muungano ndio hizi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zanzibar huru, May 30, 2012.

 1. z

  zanzibar huru Senior Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hati za Muungano baina ya Nchi mbili: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Tanganyika haipo na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar imebadilishwa jina na kuitwa "Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)". Sheria ipi, ya mwaka gani, chini ya Raisi yupi, kwa sababu gani, jina la NCHI lilifutwa na badala yake likawekwa jina la SERIKALI?


  [​IMG]
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kitabu gani hicho chenye haya maandishi unayoyaita wewe hati za muungano?
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  adobe 1964?
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hata hati za muungano zikiletwa hamtakubali mtaamisha magoli! Mlianza bendera mkapewa, wimbo wa taifa mkapewa, vyote mnavyotaka mmepewa sasa hata hati ikija hamtokubali. Angalau sasa mmedai nchi yenu na hili tutawapa yaishe salama ndugu zetu. Hatutaki Muungano!!!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,578
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji, kuwapa Zanzibar nchi yao ni kuvunja muungano!, huu ni uhaini!. Tutatakacho wapa ni haki ya kuujadili ni muungano wa aina gani wanautaka na sio kuuvunja!.
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nilipoona title nikadhani umekuja na kitu kipya kumbe umedesa kilichokuwa humu jamvini tangu juzi....kurasa ileile makosa ya kuscan yale yale ...Lol. Bora tu mlale mbele mnatuwekea usiku.
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Mkuu pasco/Mods hapo kwenye RED ni sawa?

  Join Date : 22nd September 2008

  Posts : 6,845
  Rep Power : 0

  Likes Received 2890

  Likes Given 7349
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,717
  Trophy Points: 280
  Wakiujadili halafu wakisema hawautaki hapo utasemaje? Pasco unajuwa muungano ni sawa na ndoa, lazima pande zote mbili zikubaliane, kwa mfano wewe kila siku mkeo anakudai talaka na anakuambia hakupendi tena utang'ang'ania kuishi naye? Na ukilazimisha kuishi naye basi anaweza hata kukuwekea sumu ufie mbali awe huru kuolewa na yule anayempenda, na sumu tayari tumeshaiona kwa njia ya kulipua makanisa na kuwataka watanganyika warudi kwao bara.Hapa hakuna suluhisho zaidi ya kuwapa Zanzibar yao na sisi turudishe Tanganyika yetu.
   
 9. K

  Konya JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  maisha ya huu muungano ni ya kutia mashaka na hata kama ukiendelea kuwepo bado majinamizi yataendelea kuuandama tu ni bora tukakubaliana moja
   
 10. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,390
  Likes Received: 6,572
  Trophy Points: 280
  Ndio zenyewe mkuu, kwani tatizo nini wajemeni, hata kama hati zisingekuwepo..even an oral agreement is a valid and enforceable agreement..even though it is highly advised the oral agreement to later on be in written form as evidence..kwa mfano kama hati hazikuwepo..na makubaliano ya muungano yangekuwa ya mdomo..bado yangekuwa halali kisheria..tatizo uelewa wa watu katika mambo yamsingi ni mdogo sana..watu wamekalia siasa tu badala ya kutafuta ukweli ndio maana EA watanzania bado tupo nyuma na tunazidi kuachwa nyuma kila siku..maneno maneno tu hamna kitu..
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Aaaah Pasco hawapewi tu si wanapewa kama walivyoachia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Zanzibar ni huru: Ningependa kujua uhuru gani unaozungumzia. Na pia tafadhali andika hizo kero za muungano zilizopo. Na kwenye katiba andika vipengele vipi? Kuhusu jina ni suala la Zanzibar viongozi na academics wapo,. mbona unalaumu Tanganyika?
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Umesema yote Mkuu! I real like it!
   
 14. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,476
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Zanzibar itaendelea kuwa nchi ndani ya muungano na si vinginevyo.
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  umenena MM.2wape kijinchi chao 2okoe bajeti yetu inayoenda huko.kama ni usalama Ikulu tutahamishia dom ama a town..maana ikiwa pale ni hatari toka pembezoni mwa bahari.JK Tupe zawadi ya tanganyika yetu.
   
 16. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu fafanua vizuri hapo kwenye red. "Kuvunja muungano ni uhaini"? Mke hanifai halafu nisimwache....au hadi aniue!
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Kumbe docs ziko vizrui hivyo sasa swali la msingi ukisoma hapo juu ni kwamba kuna Government of Tanganyika na ile ya Government ya Watu wa Zanzibar (hii ipo) swali ni kwamba hii ya Tanganyika iko wapi? au iko kwene hayo maandishi tu? nionyeshwe hata jengo moja tu la serikali ya Tanganyika, kama hakuna basi hawa jamaa wakae kimya tusijekuwachapa vibao buree
   
 18. z

  zanzibar huru Senior Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  its their country and they have a right kujadili mstakbali wao
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe kama nani wakuweza kufanya maamuzi? unatamani lakini hukujaaliwa na manani, wewe baki kuwa fataani wa mitaani na majamvini husutiki hata kwa karabai sabini.
   
 20. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Pasco unaposema kuwapa nchi yao una maana gani? kwani tuliwapora au kuwanyang'anya kinguvu? Mbona muungano ulishavunjika kitambo au wewe hujui kuwa zanzibar ni nchi yenye majeshi,bendera na wimbo wa taifa? Ni muungano gani wa nchi mbili unaolalia(egemea) upande mmoja,yaani kwamba wao waamie huku wajenge popote pale wafanye biashara,kazi waoe,wajenge misikiti,waendeshe migahawa,baa lakini sisi haturuhusiwi hata kuabudu kwa uhuru,kumiliki shamba au nyumba hata kuajiriwa kule ni shughuri,sasa huu ni muungano wa nama gani?
   
Loading...