Hati ya muungano Na Gazeti la mawio

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,290
2,000
Gazeti la mawio serikali iliwafungia kwa sababu za kutoa habari juu ya utata wa hati ya muungano, tunajua kwamba ni kweli hati ya muungano haipo na kama ipo haina uhalali na ina utata.

Hivi sasa wazanzibari wamefungua kesi ya uhalali wa muungano, katika mahakama ya East Africa. . Jee ikiwa mahakama itathibitisha kuwa hati iliyo tolewa katika bunge la katiba ina utata na magumashi, serikali itajichukulia hatua gani kwa kulifungia mawio kwa kutoa habari za ukweli?

Je hio taasisi ya vyombo vya habari itakuchua hatua gani juu ya serikali kukandamiza vyombo vya habari na democracy?


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom