Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

Hivi kweli toka may 2020 yawepo mashitaka kama haya tena chini ya Magufuli halafu Mbowe ni mmoja wapo halafu Magufuli akae kimya bila kusema? pengine hao vijana walipanga hayo lakini kumuhusisha Mbowe ni uongo ambao itakuwa ngumu kuhuthibitisha kamwe......
Kama Mbowe angekuwa ameyatenda haya Magufuli asingelinyamaza hadi anakufa lazima angelisema kabisa wazi... asingeficha hiii...

Mimi kawakweli sijawai kuwa fan wa Mbowe na nimekuwa nikimtania sana Mbowe humu jf lakini katika maisha yangu ataungeniambia kuwa Mbowe ni mtu muovu au anapanga uovu tena ugaidi kama huu ulioandikwa hapa na DPP kwakweli nisingekuamini na kamwe siwezi kukuamini.......Mbowe awezi fanya haya....... uzuri wakati taarifa zinatoka hizi pale tulipokuwa watu wote sio fan wa Mbowe lakini walikataa kata kata kuamini taarifa hizi na wengi tulisema wazi hakuna ushahidi nitauamini kuwa Mbowe ni gaidi....
Mbowe awezi fanya haya kamwe kamwe...
Hapa wanapoteza muda tuuu
LAKINI USIMWAMINI MWANA SIASAAU HASA BINADAMU ANAWEZA KUFANYA LOLOTE USILOLIFIKIRIA KWAKE MPAKA UKASHANGAA HEE HATA HUYU ANAWEZAA FANYA HIVI? HAO WALIOTANGULIA KUKAMATWA HUENDA NDIYO WAMETOA STORY YOTE NAWAZA TU LAKINI
 
Kweli waandamizi mnamharibia Mama namna hii??? Mambo ya Sabaya kumwondolea Mbowe walinzi kuwapa kesi ngumu, ingekuwa Kuna chembe ya ukweli serikali ya JPM ingemwacha Mbowe kwa lisaa uraiani?!
Wacha shetani azidi kuwapa roho ngumu muweke records sawa.Aibu yenu na kwa taifa letu.
 
Kweli waandamizi mnamharibia Mama namna hii??? Mambo ya Sabaya kumwondolea Mbowe walinzi kuwapa kesi ngumu, ingekuwa Kuna chembe ya ukweli serikali ya JPM ingemwacha Mbowe kwa lisaa uraiani?!
Wacha shetani azidi kuwapa roho ngumu muweke records sawa.Aibu yenu na kwa taifa letu.
amini usiamini, jpm alinyamaza tu kwa mbowe kama alivyonyamaza kwa Tundulisu. hakutaka purukushani zisizo na maana, sasa wameona wanaachwa wakaamua kuingia miguu yote kumbe kuna kina cha maji, wametumbukia, walinywe looote tena wasitupigie kelele.
 
Kumbe hata hii mioto ya Kariakoo na uchomaji mashule huwa kuna motive behind!
 
Cha msingi CDM wasitumie nguvu nyingi sana kwenye kesi hii, bali waendelee na kuelekeza mapambano ya kudai Katiba mpya kwa nguvu zaidi sababu hilo ndilo lengo kuu kwa sasa. Dhumuni la CCM ilikuwa ni kumpiga mchungaji ili kondoo watawanyike na hili wameshalitimiza.

Kwa hiyo waonyesheni CCM kwamba kondoo hawatawanyiki na katiba mpya inaendelea kudaiwa kwa nguvu zote.
Na wewe badala ya kuutumia ubongo wako unatumia wa Lema?
Shame on you!
Hawa ndio wachoma mioto ile,halafu mnajifanya kwenda kuwapa pole wafanyabiashara wa kariakoo?

Kama mlifurahia ya Sabaya sasa ngoma droo!
 
DPP Mwakitalu na yeye tayari ameshaanza kuonesha dalili za kutumika vibaya, DPP kisheria ana haki ya kukataa kesi hii isiende mbele na akiondoa hawezi kuadhibiwa na mamlaka ya uteuzi sana sana ukikataa mbinyo kutoka kwa wateuzi utapandishwa cheo kuwa jaji.

DPP hana sababu za kukubaliana kutumika vibaya wala kuogopa kuchukuliwa hatua za kinidhamu katiba ya nchi inamlinda.
Kwa nini unasema kesi iondolewe? Mbowe ni malaika hawezi kukosea?
 
Kwa nini unasema kesi iondolewe? Mbowe ni malaika hawezi kukosea?

Haina maslahi kwa taifa, DPP aliyepita Mganga Biswalo anazungumzia power zake DPP za Nolle nolle prosequi, na kwanini huzitumia kufuta kesi au kutondelea na mashtaka

 
Mashtaka ya kipuuzi na ya kutunga, Mbowe kutaka Katiba Mpya sio kupanga kulipua vituo vya mafuta, hii dhulma iko siku mtaulizwa mbele ya safari mmekosa aibu kabisa.
Mbowe aliyajua haya mashtaka siku nyingi sana na alishahojiwa mara kadhaa. Hao wenzake walishakamatwa na kuwekwa rumande. Hilo suala la Katiba Mpya lilikuja kama kichaka cha kujifichia tuhuma za uhalifu alizokua anazifanya. Mama anaupiga mwingi sana

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Haina maslahi kwa taifa, DPP aliyepita Mganga Biswalo anazungumzia power zake DPP za Nolle nolle prosequi, na kwanini huzitumia kufuta kesi au kutondelea na mashtaka


Maslahi gani ya Taifa Mkuu? Kila kesi ikifutwa sababu haina maslahi ya taifa tutabaki na kesi gani mahakamani? Mimi leo hii nikimtandika mke wangu, nikashtakiwa, ninaweza kuargue hiyo kesi haina maslahi ya Taifa. Ishu ya Bwana Mbowe nashauri viachwe vyombo vya sheria vifanye kazi yake. Ila lile wazo la Lissu la kutomwekea mawakili lisifuatwe, anaweza akafungwa na kwa tz yetu hii ilivyo maisha yataendelea na watu watamsahau
 
Kudai katiba mpya ndo kuwa gaid yana mwisho
ukiangalia makosa yote aliyoshitakiwa nayo ni ya kipindi cha August, 2020, yaani soon before uchaguzi, hivyo kumbe alikuwa ameandaa kufanya ujinga wa kutisha, na mnakumbuka kuna baadhi ya sheli ziliungua kipindi kile, na criminal huwa haifi, hata kama ulifanya kosa miaka 20 iliyopita kama ushahidi upo wanaweza kukunanga hata leo. kwahiyo msimtetee tu, alijiandaa kwa namna yeyote ile mwaka jana achukue nchi hata kwa ugaidi.

Kasomeni sheria ya ugaidi mtajua elements zake. pia, kudai katiba isiwe kisingizio chenu/kinga, mnaweza kuwa mlifahamika muda mrefu tu wakaamua kuwapuuzia lakini mlipoanza kuleta jeuri serikali imeamua kuleta kibri, ndio dawa yenu.
 
Back
Top Bottom