Hati ya mashitaka waliyosomewa viongozi wa CHADEMA leo Arusha

Wameiba kura,wamejisimika kwenye uongozi sasa yameanza kuwashinda na wana anza kutumia nguvu kipumbavu hata zisipohitajika na kupoteza
maisha ya watu wasio na hatia, Mungu wa haki anaona na ninaamini atazidi kututia nguvu ili kupigania haki yetu. Tanzania haijabinafsishwa kwa
watu wachache wanaodhani wana haki zaidi ya wengine, Tanzania ni yetu sote. Ni haki yetu kuandamana kwa amani kuonyesha kutoridhika na
mambo wanayofanya hao viongozi waliojiweka madarakani. Mungu awafariji wale walipotelewa na ndugu zao huu ni mwanzo mpk Kieleweke.
 
Back
Top Bottom