Hati ya mashitaka waliyosomewa viongozi wa CHADEMA leo Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hati ya mashitaka waliyosomewa viongozi wa CHADEMA leo Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by palalisote, Jan 6, 2011.

 1. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo hati iliyopelekwa kwa mwanasheria mkuu wa serikali


  Download kama pdf
   

  Attached Files:

 2. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  serikali ndio ya kushitakiwa
   
 3. t

  tibe22 Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ni mchezo mchafu na ni wa kukemewa kwa nguvu ya uma
   
 4. f

  freddielly Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanajaribu kuzima kiu yetu kupata haki ya kweli
   
 5. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu isaidie Tanzania kwa maana imegubikwa na uongozi wa DHULUMA na UNYANG'ANYI wa haki za wananchi.
  Hii ni dharau ya hali ya juu, hatuliachi hili likaenda pasipo kusema hata wamwage mabomu ya machozi milioni, tutasimamia haki zetu tuu.
   
 6. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima watutishe ili tusijethubutu. lakini dhuluma ikizidi hata mtutu wa bunduki hautishi. Watatuua lakini hawatatuua wote na haki itakuwa imepatikana.
  ALUTA.
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watalijua jiji, na nimesoma yote ni Chaggas, Iraq, na kale ka sifa ketu ka ukatoliki wote wanako, kweli hiki si chama ni genge la wahuni kama alivyosema Shibuda
   
 8. F

  Ferds JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu nina doubt na hii charge sheet, maana jamaa wanamakosa zaidi ya moja au vyanzo vya habari vinatudanganya?
   
 9. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  aisee naona wachaga tupu
   
 10. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hati ya mashitaka dhidi ya haki
   
 11. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwa kweli nimepitia majina yote naona kama mtu namba 18 na 29 wameingia kimakosa
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inawezekana ukawa na mtindio wa ubungo au ni shetani halisi,nenda kuzimu!!
   
 13. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  serikali ya ccm na viongozi wake wangekuwa wanashughulikia matatizo yanayowakabili wananchi kwa kasi ya namna hii, na ku deal na mafisadi kwa nguvu za ziada kama walizotumia jana wananchi wasingekuwa na ugomvi nao. But no, inapokuja kukandamiza wananchi ni spidi isiyo kifani, lakini kushughulikia mafisadi na matatizo yaa wanannchi; loo; inachukua nusu karne!
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama wewe ulivyokuja duniani kimakosa,hustahili kuendelea kuishi duniani!!
   
 15. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa mahali pa tukio ni Arusha,ulitegemea wawe wagogo?
   
 16. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  kwa kweli huenda walikuwa wanpita na shughuli zao lkn bahati ikawa sio yao maana waliobakia wote wanaonekana kwa ushahidi wa kimazingira wamehusika
   
 17. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa na police si washitakiwe kwa kuvunja sheria kwa kuwapiga watu badala ya kuwazuia??
   
 18. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  du hamna kitu hapo ,serikali na wadudu wake jinga kubwa
   
 19. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huwezi kuwa Mbabe milele! Ubabe wa JK utaisha pale tu POLICE nao watakapogundua kuwa wanatumiwa vibaya. Shime mapolisi wote achani kupiga watu bila kufikiri.
   
 20. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ok...................
   
Loading...