hati ya mashitaka na maelezo ya ph

abagabo

Senior Member
Jun 4, 2014
155
168
wakuu naomba mnisaidie,
Katika kesi ya jinai siku ya kwanza uwa naona wanamsomea mshitakiwa kosa lake, na siku ya ph wanasoma maelezo kiundani zaidi.
Je, siku ya ushahidi ni sahihi kwa shahidi kueleza au kutoa maelezo yanayopingana au kutofautiana na maelezo ya ph?
MFANO: Kwenye ph ieleze kuwa uliiba pesa tarehe fulani mali ya fulani, lakini maelezo ya pesa iliyoibwa ilikuwa wapi na mazingira ya wizi yalikuwaje. Maelezo ya ph yasihusishe mambo hayo, lakini siku ya ushahidi shahidi aeleze eti pesa hiyo ilikuwa ilikuwa kwenye godoro/pesa au kwingine kule, je ni sahihi?
 
PH inasaidia tu kupunguza wingi wa mashahidi ndo maana utakuta mwisho kuna MEMORANDUM OF AGREED FACT, hizi zitakuwa HAZINA haja ya kuleta mashahidi kwavile mshtakiwa amekubali ni kweli na exibits zote zinazofall kwenye agreed facts zitapokelewa.
Ila facts ambazo zitakuwa disputed lazima zilete mashahidi na kuja kuelezwa kwa kina kwa pande zote ili ukweli ujulikane so kama mtu akikataa aliiba fedha inakuwa ni fact iliyokuwa disputed so kwenye ushahidi kila upande utalazimika kueleza kwa kina juu ya fedha zilizoibiwa
 
Ivi kufahamiana na mtu ambae hujui shuhuri zake, let say labda drugs dealer , then uyo akakamatwa,then nawewe kwakuwa unajuananae ukaja ukakamatwa, katka hati ya mashtaka ikaandikwa tarehe fulani mwezi fulani mliuza na kusambaza kitu fulani kinyume na sheria, sasa hapo atajinasua vip uyo ambae amepewa tu kesi, wala hajui lolote, hakuwai kusamambaza wala kuuza au kumuuzia mtu drugs,
Hapo kisheria siinabidi upande Wa mashtaka ilete hao wanaosema kuwa waliwauzia waje wasibitishe kama wanamjua mshtakiwa au washtakiwa , na wathibitishe walimkuta na nyaraka gani kuthibitisha iyo drug kauziwa na mshtakiwa, au ipoje Mkuu,,

Kuna mtu kapewa kesi ya muundo uho ye na rafiki yake
"he who alleges must prove" jamuhuri watapaswa kuleta ushahidi juu ya tuhuma za hao watu BEYOND REASONABLE DOUBT
 
Nini cha kuzingatia pindi unasomewa PH

Back
Top Bottom