Haters wa Kikwete hili linawahusu

So what? Tunampenda na kumuheshimu Rais wetu lkn sio lazima kutuletea habari nyepesi kama hizi. Basi Ikulu itoe press release kama ile ya "my brother Kikwete" ya Obama. Yaani kwa ufupi Kikwete hahitaji cheap popularity kama hizi mnazozileta. Mezeeni mate siku moja moja.
 
kikwete ni kiongozi wa watu.
Asiependa visasi.
Mwenye ubinadamu.
Mpoe.
Mkarimu.
Mcheshi.
Mchapakazi.
Hana maneno mengi zaidi ya vitendo.
Your highness Live longlife.
Mtu wa visasi ameanza kujihami
 
Najua wengi hamkupata nafas ya kuangalia ugeni wa leo kule bondeni,ila ni kwamba MC wa leo alipolitaja jina la president wetu,alitamka na haya maneno

"Karibu jamaa yetu"

Nilisikia faraja sana lugha yangu kiswahili tumika pale pumzika kwa amani jk njerere
 
Kuna wanamibia nae aliambiwa,welcome our comrade.
Pia castro nae akaambia,nchi yako imeshiriki kuikomboa nchi yetu,we will always remmember that.
 
Mwanamke mdini wewe hívi yakitokea machafuko ya kidini una pakwenda tayari angalia comments zako unazotoa nchi ni yetu zote udini haulipi.
uko serious ama unatania?,kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa Africakusini na Tanzania wana special relationship,kihistoria,ndo maana hata bendera yao ya taifa na wimbo wao wa taifa karibu ufanane.

Pia ujue africakusini ilipata kuitwa AZANIA.
 
mzee mandela alipofika dar uwanja wa taifa, kwa mara ya kwanza baada ya kutoka jela alimalizia hotuba yake kwa kuwaambia watanzania:
" i admire you !,
i respect you,
and above all i love you!"
 
Heshima ya Tanzania popote pale Afrika na hata duniani ni kutokana na uongozi bora wa Mwalimu katika kusimamia na kuhamasisha ukombozi wa Afrika na pia kuwa na msimamo imara wa kutoyumbishwa na mataifa makubwa na kuunga mkono umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote. Hawa mafisadi waliofuata baada yake hawakufanya lolote la maana kuiletea sifa Tanzania na ndio maana watu wa mataifa mengi duniani hadi kesho kutwa wakijua unatoka Tanzania watakuuliza kuhusu Mwalimu na kuanza kummwagia sifa kibao na hao mafisadi hawauliziwi kamwe.
 
Huu msiba wa jamaa umeunganisha nchi nyingi sana duniani, hadi Cuba na USA wanashake hands huku wanasmile vizuri hivo, dunia ingekua na muungano wa namna hii tungekua mbali sana, hata Mars tungekua tushajenga...
 
So what? Tunampenda na kumuheshimu Rais wetu lkn sio lazima kutuletea habari nyepesi kama hizi. Basi Ikulu itoe press release kama ile ya "my brother Kikwete" ya Obama. Yaani kwa ufupi Kikwete hahitaji cheap popularity kama hizi mnazozileta. Mezeeni mate siku moja moja.

We mipangomingi,lala ukue,ni greater COMPLIMENT hiyo,kana hujawahi pewa hiyo heshima,huwez jua thamani yake mbele ya marais wote wale
 
Yes FaizaFoxy yaani ni bonge la furaha kwangu,kwakuwa namkubali sana jamaa,kawafanya wapinzani wawe na sauti,ili awe anajirekebisha kupitia wao,japo wao wanamuona ka babu yao,kumtukana humu!bila kujua kuwa wanamkosea Mungu,kwa kuto heshimu mamlaka yaliopo duniani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom