Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

Habari zenu "haters" wenye dukuduku, maoni, mapovu, kelele n.k...
Mwageni povu zenu zote hapa kuhusu Mbeya.
Ili tujue kama kuna sehemu tunaweza kurekebisha japo sio rahisi kumridhisha kila mtu hasa anayekuchukia.

Nafasi adhim ndiyo hii.....

Mwageni mabaya yote kuhusu Mbeya maana najua mnamengi ya kuongea Ila ndo ivyo hamkupata nafasi ya kutema povu lenu juu ya jiji letu.

Na msisahau pia kukaribia. mnakaribishwa sana Mbeya wageni wooooote.
NDAGA FIJO.

MBEYA

Home Sweet Home Green City

Mji mdogo unawasenge wengi kuliko hata dar
 
Mbeya ni moja ya mikoa ya hovyo saana na hapafai kuitwa jiji yaani pako kama kijij kilichochangamka
Wapi uliko ambako sio kwa hovyo tuone.

Mbeya kama Mbeya 👇

Screenshot_20211119-101323.png


Screenshot_20211119-101448.png


Screenshot_20211119-101425.png


Screenshot_20211119-101420.png


Screenshot_20211119-101432.png


Screenshot_20211118-223232.png
 
Kwa sasa Mbeya City ni hot construction site ,majengo ya ghorofa kila sehemu.Hii ndio maana halisi ya kuwa City sasa.

Some of photos👇👇

IMG_20211222_121100_406.jpg


IMG_20211222_120455_442.jpg


IMG_20211222_120630_644.jpg


IMG_20211222_115950_349.jpg


IMG_20211222_113604_411.jpg


IMG_20211222_113422_279.jpg


IMG_20211222_113030_532.jpg


IMG_20211222_112541_073.jpg


IMG_20211222_111832_053.jpg


IMG_20211222_110532_288.jpg


IMG_20211222_105323_741.jpg


IMG_20211222_105123_133.jpg


IMG_20211222_104423_662.jpg


IMG_20211222_104416_367.jpg


IMG_20211222_104415_923.jpg
 
mtu akiwa nje ya Mbeya( hajawahi kufika mbeya) anatamani sana afike mbeya japo apaone tu..hii hutokana na sifa nyingi ambazo watu wa mbeya huipatia mbeya,wenyewe wakikusimlia waweza dhania mbeya ni ulaya...mtu akifika anakuta hali ni tofauti sanaaa na masimlizi,lakini mbeya pako vizuri siyo pakubeza kabisaa
 
Back
Top Bottom