Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 2,937
- 3,997
Tunaomba hizi Superman Series kwenye ving'amuzi vya Tanzania ziondolewe. Azam TV tunaomba muindoe hii kitu. Sisi wateja wenu hatuzihitaji.Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19View attachment 1972273Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.
Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao si tatizo kama ilivyo bangi na mihadaratI kwenye baadhi ya mataifa duniani