Hatari ya foleni zkm hadi njia panda charambe! Nani anajali.?????.

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,866
3,594
Wakazi wa chamanzi.mbande.mandege vikindu this is terrible.!
Hii foleni ya kijinga kila siku kuanzia hapa zkm hadi njia panda charambe nimegundua tatizo ni miundo mbinu na ujinga wa madereva wa gari za abiria.! Gari zimekuwa zikipakia njiani na kusababisha folen isiyo na ulazima. Hakuna askari anajali hakuna mtu anajali .imekuwa kam hali ya kawaida ila kwa sisi inatuumiza sana imagine mtu una spend one hour kutoka kwa zkm hadi njia panda charambe bila sababu za kueleweka.serikali ya mbagala simamieni hili suala mnatokea sana wananchi wenu.!!!!

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Gari zikitembea ukwaju wetu na miwa atanunua shangazi yako?
 
kwa sasa DSM imehamia mbezi ya Kimara na viunga vyake.
ukitaka kuishi kwa raha mustarehe hamia Mbezi/kibamba/kiluvya/Luguruni/ n.k hayo ndio maeneo ya uhakika kwa sasa.
 
Back
Top Bottom