Hatari: Vita hailetwi na CCM wala CDM, anaeileta ni huyu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari: Vita hailetwi na CCM wala CDM, anaeileta ni huyu hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Logo, Dec 2, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wachawi1 001.jpg Wachawi1 001.jpg
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Duh! Bismillah kwenye uchawi? ipo hii?
   
 3. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zingine zimenishinda kuzipachika ngoja internet ikirudi nitazidumbukiza
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hueleweki!!:juggle:
   
 5. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikimalizia kuziattach na zingine utanielewa tu
   
 6. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  nakumbuka 'biashara ya uchawi Tanzania' ya Maji moto, bila shaka hapa kuna koneksheni fulani, ila bismilahi hata mie hoi.
  Mwaga vitu fasta tujionee maruweruwe.
   
 7. k

  kabindi JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  vita italetwa na CCM tu! usituletee vimaandishi vya kubuni na kuhamisha attension za watu! watu kwa sasa wanaelewa adui yao ni CCM tu na si hivyo vitu vya kubuni!
   
 8. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 853
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Hizi conspiracy noma!!! Na nia yake ni moja tu...kuwatoa watu kutoka kwenye ukweli halisi na kuwaaminisha uongo! Pole sana mkuu kwa kutumika vibaya!!! Wamekulipa shilingi ngapi?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Logo... huwezi kupata hizi attachments kama wewe si mmoja wao

  Ntavuana nguo woote na laana zenu
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  is it?
   
Loading...