ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Gazeti la Times - Malawi
Nasoma hilo gazeti kila siku na sijaona article inayosema Kikwete kakubali. Itakuwa helpful ukinipa link ya hiyo habari. Asante.
Gazeti la Times - Malawi
He said "the right thing" in what terms?
He might have made a "right move".I doubt that he said the right thing...kauli haiko kama ilitoka from the commander in chief.Wamalawi wako karibu sana na sisi,so unadhani hawajui kwamba ni uongo kauli hizo hazikutolewa na wapinzani kama rais anavyotaka waamini?Kauli zote zilitolewa na watu walioko chini yake,sasa kwenda kujieleza the way alivyofanya mbele ya rais wa Malawi si incompetence?Kauli haikuwa right...Wamalawi wanafahamu kuwa si yeye aliyesema hayo maneno,so wanafahamu kabisa kuwa waliosema ni viongozi wenzake JK walioko kwenye cabinet yake na chama chake.Sasa huo usanii anamfanyia nani?wamalawi,sisi,ama sote sisi na wamalawi?Kukataa kwamba Tanzania inajiandaa na vita, kwa maana ya kwamba kwanza kuna mazungumzo yanaendelea na habari za vita hazitakiwi kupewa nafasi sana kwa sasa.
Lakini pili, hata kama Tanzania ni kweli inajiandaa kwa vita, kijasusi hatakiwi kusema "tunajiandaa na vita". Vita inatakiwa kuja kwa surprise, humwambii mpinzani wako kwamba 'najiandaa kwa vita".
Kwa hiyo wanaojua diplomasia na ujasusi wakitaka kujua kama Tanzania inajiandaa kwa vita, wataangalia mengine, hii kauli ni ya kutegemewa kutoka kwa head of state aliye katika position ya Kikwete sasa.
He might have made a "right move".I doubt that he said the right thing...kauli haiko kama ilitoka from the commander in chief.Wamalawi wako karibu sana na sisi,so unadhani hawajui kwamba ni uongo kauli hizo hazikutolewa na wapinzani kama rais anavyotaka waamini?Kauli zote zilitolewa na watu walioko chini yake,sasa kwenda kujieleza the way alivyofanya mbele ya rais wa Malawi si incompetence?Kauli haikuwa right...Wamalawi wanafahamu kuwa si yeye aliyesema hayo maneno,so wanafahamu kabisa kuwa waliosema ni viongozi wenzake JK walioko kwenye cabinet yake na chama chake.Sasa huo usanii anamfanyia nani?wamalawi,sisi,ama sote sisi na wamalawi?
Jamani kwani hamjui kuwa kwa sasa hao wote waliotamka ni wapinzani wake kisiasa ndani ya chama chake?huyu JK naye kilaza! Chama gani cha upinzani kimehamasisha vita? Upuuzi huu na inabidi aombe radhi
jamaa alipokutana na hasimu wake akaishia kutabasamu bila kuchukua hatua, unategemea kitakachoendelea ni nini? Tushaibiwa tayari!
Posts zako zilikuwa 956 kabla ya kutuma hii na kwa kuongeza hii zimekuwa 957 si ndo ulilolitaka? Basi umelipata furahi sasa!!!!!ulitaka amtandike mangumi?
Posts zako zilikuwa 956 kabla ya kutuma hii na kwa kuongeza hii zimekuwa 957 si ndo ulilolitaka? Basi umelipata furahi sasa!!!!!
All in all, Commander in Chief ka clear any doubt kuhusu msimamo wake kuhusu vita kwa wakati huu, publicly.
PakaJimmy, as much as I know our president, it is very likely he mentioned something on opposition parties (cdm?) while responding to the press regarding the allegations that Tanzania was preparing for the battle to defend its terittory. This indeed exemplifies the vacuum of leaderahip in our country. How comes a president defends himself by pushing all the allegations to the opposition party while he/she is in a foreign country!!!! Trully, it is high time Tanzanians need a true leader; a leader who wherever he/she is, represents Tanzanians and not his/her party. Otherwise, our reputation as a nation is declining at an allarming pace.Kiranga.
His comment regarding unpreparedness of our army is completely right.
What overwhelms my colleagues here is his comment to scape-goat the opposition while in foreign country!
Its frightening if his rage over opposition crosses the boarders!
Kwanini hakuclear hapa nyumbani mpaka aende kuchanganya na uongo?kwani ye rais wa Msumbiji?waliotoa hizo kauli ambao ni subordinates wake, walizitolea nyumbani,yeye kaenda huko kupotosha.Double standards za commander in chief.Kwasababu ameongopa,kauli yake haiwezi kuchukuliwa serious.Unless wamalawi wawe wame mmissquote.Yeye ni commander in chief akiwepo Msumbiji na si commander in chief akiwepo Tanzania?hapo ndo utata wa huo ucommander in chief unapoibuka.Membe naye si alikuwepo hapo pembeni yake?EL ndo hakuwepo na Sitta.
Kiranga.
His comment regarding unpreparedness of our army is completely right.
What overwhelms my colleagues here is his comment to scape-goat the opposition while in foreign country!
Its frightening if his rage over opposition crosses the boarders!
Kikwete did not comment anything about Tanzania's "unpreparadness", he just rejected the war option.
I suggest you look up the meaning of "unpreparadness".
Not preparing to go to war does not mean that one is unprepared to go to war.
One can be prepared to go to war, but not preparing to go to war.
Kikwete was saying Tanzania is not preparing to go to war, he did not say Tanzania is unprepared to go to war.
The two are quite different and as a commander in chief he would be the last person to admit that Tanzania is unprepared to go to war, even if that was the actual case.
Lugha za watu hizi jamani, unaweza kuharibu maana nzima ya dhana kwa kuchanganya "not preparing" na "unprepared".
Hapana,kina Membe na EL na Sitta waliposema hayo maneno angetakiwa kuweka sawa si hadi asubiri hadi Msumbiji kwenda kudanganya other dignitaries.Sikusema chochote kuhusu wengine waliosema mengine, nimeongelea kauli ya rais.
Rais anaweza kuchagua kutoa kauli katika kikao cha kimataifa kuipa kauli mtazamo na gravita ya kimataifa zaidi.It's not like akiwa Msumbiji anaacha kuwa rais/ commander in chief wa Tanzania.
Tofauti kati ya preparing na prepared ni just time,moja past tense na nyingine present.Na hivyo maana haiwezi kuharibika kama unavyosema.Kikwete did not comment anything about Tanzania's "unpreparadness", he just rejected the war option.
I suggest you look up the meaning of "unpreparadness".
Not preparing to go to war does not mean that one is unprepared to go to war.
One can be prepared to go to war, but not preparing to go to war.
Kikwete was saying Tanzania is not preparing to go to war, he did not say Tanzania is unprepared to go to war.
The two are quite different and as a commander in chief he would be the last person to admit that Tanzania is unprepared to go to war, even if that was the actual case.
Lugha za watu hizi jamani, unaweza kuharibu maana nzima ya dhana kwa kuchanganya "not preparing" na "unprepared".
Hapana,kina Membe na EL na Sitta waliposema hayo maneno angetakiwa kuweka sawa si hadi asubiri hadi Msumbiji kwenda kudanganya other dignitaries.