Hatari - Tanzania listed among high risk countries for Ebola outbreak

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,729
48,275
. The World Health Organization (WHO) on Friday, May 25, 2018 named Tanzania among countries that were at high risk of facing an Ebola outbreak.
Ebola has so far killed 27 people in the Democratic Republic of Congo (DRC) since an outbreak of the disease was announced in the country on May 8.

As various health agencies continue with efforts to contain the outbreak, the WHO has identified three groups of priority countries for interventions; based on risk assessment. Tanzania falls in the second category of high priority countries.

Uganda-based WHO representative, Dr Miriam Nanyunja, told reporters in Dar es Salaam that Tanzania was at high risk of facing an outbreak because of cross-border interactions with the DRC.

She said it the country is in the same category, named priority 2, with other countries such as Angola, Burundi, Rwanda, Southern Sudan and Zambia.
Tanzania listed among high risk countries for Ebola outbreak
 
TZ yetu ina mpaka na Dr. Kongo epicenter ya ebola!
 
duh! tunaiombea nchi

Researchers should find out why DRC is always vulnerable to this epidemic. Halafu I read somewhere that patients are running away from the medics to seek alternative help, that's the worst that it can get.
 
Mbona inajulikana boss hawa majamaa wa Congo wanakula Sana nyama ya nyani ndio sababu.
 
watz wanaoishi congo ndio chanzo cha ebola huko, hilo lajulikana bayana, hawa jamaa sio wa kuwa karibu nao
 
Na kuna Wakongo ambao hujiita Watz, tunao hadi humu JF hutuzingua sana.
 
na mwenzake pia ni mulisaaa . jamaa katoroka kambini sasa kazi ni kelele za ccm hapa.
kweli kabisa, wengi humu ndani walishawaumbua zamaniii, ukifatilia kiswahili chao na kauli flani flani hivi utagundua jamaa sio watz kabisa.
 
hahaa yule bingwa banya mulenge MOTOCHINI anajijua vizuri, anakesha akisifia ccm mitandaoani huku akihofia immigration wasimuibukie akanyea ndoo segerea!!
Wakati wewe ukiniwazia mimi mkongo
jua nilimpigia kura Kibaki nikiwa Mombasa

Tukienda wote Mombasa mimi napokelewa vyema kuliko wewe
nabaadhi hujua mimi mkenya asili ya Somalia kumbe li Mtanzania
 
Na kuna Wakongo ambao hujiita Watz, tunao hadi humu JF hutuzingua sana.

Ubaguzi huo. SASA LABDA mababu zao walikuja huku miaka ya zamani sana. Baba zao wamezaliwa hapa, nao wenyewe wakazaliwa hapa. Sasa utasema siyo mTanzania??

Btw unajuaje kama ni mkongo?
 
Kwanza kabisa sijabagua, nimesema kuna watu humu hujiita Watz ilihali ni Wakongo, kwa mfano huyu mulisaaa aliwahi kudai kwamba yeye ni Mkongo nusu na Mtanzania nusu, nijuavyo sheria zenu haziruhusu uraia pacha, na kwa jinsi Kiswahili chake huwa majanga, hivyo atakua Mkongo.

Pili, nyie ndio wabaguzi mliojawa chuki mlizorithi kutoka kwenye mfumo wa ujamaa, muna hulka za kuwafukuza watu ambao mababu zao walizaliwa kwenu huko, kisa wana asili ya nchi zingine. Kuna yule jamaa mjaluo niliwahi kuleta habari zake humu, mumemtesa sana ilhali wazazi wake ni wazawa wa nchi yenu.
 
Back
Top Bottom