Hatari sana: Don't Sit On Your Wallet

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Standing up the back pocket is a fine place to stow your wallet. But when you sit down you start an avalanche of body mechanic problems. When one cheek is higher than the other you end up twisting the pelvis. This is bad enough but it doesn't stop there. The spine becomes misaligned. Then your shoulders slump. And you really start to hurt after that.
555.jpg
 
Thanks....hela tuwe tunaweka wapi sasa? Kwenye soksi kama wote wauza nyanya na vitunguu toka mikoani?
 
Thanks doctor for useful information, many of us could not even imagine about these consequences !!
 
Umeona ee? Watu wengi sana wanapenda kukalia Wallet na mm pia, lakini baada ya kuona hii habari

sitakalia tena, nitakuwa nampa snowhite au Preta anishikie wallet yangu

mmh!! hapo umejua pa kutunza wallet yako! wote hao ni mashemegi zangu, ila ikiingia kwa Preta...
 
mwalimu wako alipata sana taabu! ingekuwa test ya kupima wenye matatizo ya akili
tungerikomendi utangulizwe mirembe! unashauriwa usikalie WALLET na siyo kutokuitumia
kuweka hela zako!

Thanks....hela tuwe tunaweka wapi sasa? Kwenye soksi kama wote wauza nyanya na vitunguu toka mikoani?
 
mwalimu wako alipata sana taabu! ingekuwa test ya kupima wenye matatizo ya akili
tungerikomendi utangulizwe mirembe! unashauriwa usikalie WALLET na siyo kutokuitumia
kuweka hela zako!

Aliposema hela atakuwa amekusudia ni wallet bana...
zomba yuko wapi jamani.....Jf imepoza sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Boflo: those are two different things: Michoro kwenye display inajieleza vizuri sana!
watu wengine bhana kuelewa ni tatizo eti, hata mkifundishwa kwa vitendo na teaching aids!

Aliposema hela atakuwa amekusudia ni wallet bana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom