Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Kwanza kabisa napenda kukupa pole kwa niaba ya huyo dada/mama, kwa kweli ni jambo linaloumiza sana kuja kujua jambo ambalo ulikuwa hudhanii wala kufikiria kwa umpendae na uliyemuamini kuwa mwenza wako kulifanya. Its a hurting truth.

Ndoa hujengwa kwa misingi ifuatayo:
1: Upendo baina ya mume na mke, pamoja na ndugu waliowazunguka (wa mke na mume) na kwa marafiki wazuri wa familia
2: Uaminifu: Hili linawahusu wanandoa kuwa waaminifu kwa wenzi wao
3: Ushirikiano: Mashirkiano yanatakiwa yawepo baina ya mke na mume. Tatizo la mmoja ni tatizo la mwengine. Ushirikiano katika kujenga familia bora na pia kujenga good future of the family pia na katika nyanja zote za maisha (shida na raha).
4: Uvumilivu: Binaadamu wote hatupo sawa na tabia pia hatulingani. Kuna tabia ambazo zinavumilika, hivyo kwa wanandoa ni muhimu kuwa na uvumilivu katika ndoa yao
5: Heshima: Kuheshimiana baina ya wanandoa ni jambo muhimu sana. Self-respect na na kulinda respect ya mwanandoa mwenzako ni jambo lisilopingika katika ndoa, ni lazima liwepo.

Yakipatikana hayo yote katika ndoa, basi kwa asilimia 100 ndoa hiyo itakuwa ni ya amani na pia italeta furaha kwa wanandoa wote.

Back to the topic: kwa tukio lililomkuta huyo dada ni wazi vipengele 1, 2 , 4 na 5 (sina hakika na kipengele namba 3) vimepungua au vimeshaondoka kabisa katika moyo na akili yake na hivyo basi kuondoa furaha ya huyo dada kupata amani na kufurahia ndoa yake, vitu ambavyo ni muhimu sana kwa ustawi wa afya yake na ufanisi wa mambo yake mengine.

Akisema afumbe macho arudi kwa jamaa, i am sure mzimu wa kumkuta mmewe analiwa tigo utaendele kumuandama, mume awe anaendelea na tabia hiyo au ameacha (kitu ambacho nahisi ni kigumu). Asipomkuta tena akiliwa tigo home, basi atakuwa na wasiwasi kwamba jamaa katafuta uwanja mwengine wa kwenda kuliwa tigo.

Pia mzimu wa jamii ambayo imeshuhudia hayo mambo na kujua kilichoendelea wakiwemo wakweze na mama yake pia vitaendelea kumuandama. Hivyo amani na furaha ya kweli kwake haitakuwepo daima.

My take: Ndoa ni mkataba wa hiyari baina ya wanandoa na inapaswa kuleta furaha na amani kwa wahusika. Inapotokea ndoa ikawa ni chungu kwa mmoja wapo au wanandoa wote na haswa kwa kosa kama hili, sioni haja ya kuendelea kung'ang'aniza kuwepo katika ndoa hiyo. Hapo jamaa hakujiheshimu wala hakujali heshima na utu wa mkewe. kuendelea kuwepo katika ndoa hiyo ni sawa na huyo mke kujivunjia heshima yake ambayo bado mpaka sasa anayo.

PS: Huu ni ushauri tu, maamuzi ya mwisho yapo mikononi mwake huyo dada.
 
Hii inaelekea kuwa ni dawa ya asili na pengine bora zaidi; ila sasa tiba ya hicho kidonda inakuwaje maana umesema itachukua muda kupona!
Hicho kidonda kitapona kwa kunywa Antbiotic zitakausha. Ila atakuwa na maumivu lakini si makubwa sana kwamba itakuwa inatisha.
 
bora ulivyonisaidia mamito yaani tofauti kama nakumbuka huyo walikuwa wanatoka kwenye sherehe huyu kazini ila maudhui ni moja,....
Mi nikisema wanaume hakuna watu wanabisha ona sasa eti huyu nae ni baba????

Sasa Amu , vipi yule expected hubby, ukisema wanaume hakuna jamani
 
Sasa kama ingekuwa inaponya mbona haponi akiwekewa ile ndizi ya nyama? maana nayo inakuwa ya moto balaa, na ni nene kuliko hata hizo ndizi bukoba...

Wewe Tuko, ni nene kuliko dushelele? sasa si afadhali ya hiyo ndizi ya Bukoba ikiingia huko inaenda kutoa uchafu na hao wadudu waliyoko huko , ila tu atabakiwa na kidonda. amini watu wamefanya hiyo na wamepona.
 
kwa hiyo alikuwa ana.fi.rwa huku dada wa kazi akisikia, ni ushetani wa aina gani huu?? KWA KWELI TUNGEDIVORCE HAPO HAPO BILA HATA KIKAO NA SISIMIZI WALA INZI, WALA MBU!! LAANA KHUM!!
 
Sasa Amu , vipi yule expected hubby, ukisema wanaume hakuna jamani

best wanaume hawapo expect him tu wengine wote mambo ndo kama hayo.
Uwiii we wahi mwenzangu kabla hawajaisha inapoelekea wataisha kabisa midumeeeeee
 
Arudishe chenji ya mahari, kama sio mahari nzima.....awarudishie tu wakwe, amna ndoa apo tena!! Ila watoto waandaliwe mapema wasisikie la baba yao mzazi wajitahidi kumjua vema baba yao wa kufikia kama ndio baba yao kweli.

But in the other way nafkiri....ivi What if walikua wanakulana kwa zamu zamu, ye amekuta wake ndo kainamishawa labda baba wa watu nayye aliinamisha kabla au baadae angeinamisha!!!???
:crazy: :confused2: :confused2: :confused:
 
Hapo bwana ningekuwa mimi ndo huyo dada kwakweli huo ndo ungekuwa mwisho! Ningerudi kuanza maisha yangu peke yangu manake aibu hiyo haivumiliki!! Kumbe mambo haya yapo hapa bongo eeh
 
Hapo ipo wazi huyo bidada kashachukua maamuzi, kitendo cha kueleza yaliyojiri basi tena hapo hakuna ndoa. Akapime DNA inawezekana hata hao watoto si wake atakuwa alikuwa anapanga na huyo basha wake anamuingilia mke wake! Ili ionekane kazi anaiweza Lol!
 
Wana MMU habari zenu?

Nianze kwa kuwatakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2013.

Hili ninaloliandika limemtokea jirani yangu, ambaye pia tuna mahusiano ya kiofisi zaidi - niliwafanyia kazi fulani ofisini kwao hivyo tukajenga mawasiliano ya kikazi, na kwa vile ni majirani basi kukawa na kaukaribu fulani hivi.

Juzi nikapata taarifa kwamba amelazwa hospitali anaumwa. Kiungwana nikaenda kumjulia hali hospitali; si nikamuuliza nini kinamsumbua, lol alichonijibu ndiyo kilichosababisha nianzishe huu uzi.

Siku ya tukio bidada aliondoka asubuhi kwenda kazini kama kawaida yake, huwa anawahi kutoka kabla ya mumewe ambaye ofisi yake ipo karibu zaidi na nyumbani. Muda wa saa nane hivi akalazimika kurudi nyumbani kwa kuwa alikuwa hajisikii vizuri akahitaji kupumzika (kawaida hutoka kazini saa 11 na kufika home around saa 12). Anasema alipokaribia mlango wa mbele wa nyumba yao akawa anasikia sauti za miguno ambazo si za kawaida, akaingia kupitia jikoni, akamuuliza housegirl ni nini hicho nakisikia, binti anamtolea macho tu bila kumjibu. Kumbe binti alikuwa anajua kinachoendelea ila akashindwa amwambieje boss wake!

Kuingia chumbani alichokikuta hakukiamini, anamwona mumewe ameinamishwa analawitiwa na rafiki wa mumewe ambaye anamfahamu vizuri na kumheshimu kama shemeji! Akazirai hapohapo, kushtuka ndio anajikuta yupo hospitali.

Huyu dada yupo kwenye ndoa na mumewe kwa miaka tisa sasa na wana watoto wawili. Anasema hakuwahi hata kuhisi kama mumewe ni shoga. Hana hamu tena kuendelea na ndoa.

Ushauri wenu wana MMU tafadhali dada afanyeje? Ndio ameshamkuta mumewe akiliwa na mwanaume mwingine, tena chumbani kwao, juu ya kitanda chao anacholala yeye na mumewe! Tena mume mtu ndio kanogewa na anatoa miguno na sauti za mahaba!
Mimi namshauri huyo dada amuache huyo mwanaume kwani atamsababishia matatizo makubwa,sisi kwa mila na desturi za Afrika, wanawake ndio wanaliwa sasa hii mijanaume uke,inawaonea gere na kutamani kuliwa aaaaah!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mmh hapo amwombe mwenyezi Mungu ili mumewe abadilike cos kumwacha cyo solution kama jamaa amezoea ataendelea na mchezo tu na pia atakuwa amempa nafasi nzuri zaidi ya kuendeleza mchezo wake ampeleke akapewe ushauri nasaa
 
Fidel80! herri ya mwaka mupya!

Hii habari naweza iamini!
sikumbuki mwaka lakini pale Manzese mwanajeshi cheo cha sajenti alifumwa na mkewe uchochoroni karibu na nyumba yao usiku kainamishwa. Mjeda alisepa na kuitelekeza familia.
Ukishakuwa SHOGA uwezo wa kufikiri hupungua sana hivyo hilo linawezekana sana

Bazazi

Haya mkuu ngoja niamini hiyo ya mwanajeshi
Hivi mwanaume anae kunamishwa anaweza kubali popote akashikishwa mchanga au ukuta basha afaidi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom