Hatari kwa mawakala wote wa Vodacom M-pesa!-MWIZI WA KUTUPWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari kwa mawakala wote wa Vodacom M-pesa!-MWIZI WA KUTUPWA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matope, Aug 19, 2011.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Jamaa anawaibia mawakala wa M-pesa kwa kujifanya anafanya kazi vodacom kumbe tapeli anawahadaa wanampa simu ya wakala na kukiba mapesa kaisha iba zaidi ya milioni kumi huyu mwarabu kokooo jizi kuba
  mwizi.jpg
   
 2. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaibaje?
   
 3. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  anamwambia wakala ampe simu ya kufanyia kazi harafu anasarve kwenye phone book namba yake ya simu M-pesa kisha anampa wakala anajizungusha kidogo anarudi anamfowadia wakala sms ya kutoa pesa wakati akiwa amenoti ana sh ngapi kwa hy kama wakala ana 50000 yy anaengeza 400000 harafu mwisho float ya wakala anaandika ni tsh 450000 hapo wakala anampa pesa baadae akicheki salio empty!kaibia wengi sana anatafutwa alisahau kitambulisho chake wakati anakimbizwa ndo kukipiga picha!
   
 4. joramjason

  joramjason JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Anakuja kwenye outlet (wakala) nakujifanya mfanyakazi wa Vodacom then anaomba simu yako ya mpesa (till) anajifanya anakagua kitu then anasave namba yake kama MPESA half anaondoka bady akirudi anajifanya akirudi anatoa hela anaedit ile msg ya mpesa ya kutoa then anatuma kwenye simu yako aliyosave jina lake kama MPESA
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,221
  Trophy Points: 280
  tuhakikishie kuwa hamna chuki binafsi.
  Je umepataje kitambulisho chake?
   
 6. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  alikwenda kwa wakala Ilala pale sokoni wakala akashtuka akanza kupiga kelele wakati anakimbia akaangusha kitambulisho chake feki ndo wadau tukakipata hata hvy vodacom hakuna cheo kama hicho!
   
 7. m

  mbweta JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  jaman hizo ndo ajira alizo ahid jk nyie mmemwitia mwizi. Kweli akili zakuambiwa unachanganya na zako unazama mtaan unakuwa TP.
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tumeshakusoma mkuu, ngoja aje ajielengeshe atakoma kuzaliwa.
   
Loading...