Hatari Kubwa

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,358
29,194
HATARI KUBWA KWA USTAWI WA TAIFA

Heading inasomeka na inaeleweka. Tangazo la hatari huvuta hisia za wengi kama si wote, Kuna suala ambalo kwa kipindi kirefu nimekuwa nalifuatilia halafu nakosa majibu.

Juzi kati (I mean last week) Rafiki yangu alimpeleka mkewe kipenzi ktk chumba cha operesheni kuondoa uvimbe kwenye tumbo la uzazi. Ilinisikitisha ingawa aliyefanyiwa operesheni alikuwa anakaribia au amefikia umri wa kutopevusha yai la uzazi.

Miaka minne iliyopita ilikuwa mama yangu mzazi na katika miaka mitatu iliyopita nimeshuhudia wanawake ninaowafahamu wapatao tisa wakitolewa uvimbe katika tumbo la uzazi, operesheni hizi mara nyingi husababisha kuondolewa au kufungwa kwa uzazi kabisa.

Nakumbuka shuga mami wangu mmoja alitamani kunizalia mtoto (miaka sita iliyopita) ila kabla hajatimiza azma yake alipitishwa chumba cha upasuaji na kuondolewa kizazi, kisa kilikuwa ni uvimbe ndani ya kizazi.

USHAHIDI

Nilijaribu kumuuliza rafiki yangu mmoja miaka iliyopita ambaye ni mtaaluma wa udaktari, alinifafanulia kuwa tatizo la uvimbe katika tumbo la uzazi limekuwa likiwaandama wanawake hususani waliokwisha kujifungua au wale ambao wamechelewa kudevelop zygote (kushika mimba).

Ila kali ya mwaka ni mwezi uliopita ambapo rafiki wa mke wangu ambaye wanasoma wote chuo kikuu kimoja hapa nchini alipata zahama la operesheni ya kuondoa uvimbe ktk kizazi.

Tatizo lake lilianza na dalili ambazo wanawake wote ninaowafahamu waliopitia kisu cha kuchanja uvimbe walizipata. Dalili za homa na kuumwa tumbo ni dalili ambazo nazielezea hapa, mimi siyo mtaalam wa tiba wala masuala ya afya hivyo sidhani kama niko sahihi sana kuhusu dalili.

Msichana huyu (rafiki wa mke wangu) alipelekwa hospitali baada ya kuzidiwa na vipimo vyoote vikachukuliwa akagunduliwa kuwa ana uvimbe ktk kizazi chake.

Kwa kuwa umri wake ulikuwa ni mdogo I mean ndiyo kwanza anafikisha miaka ishirini, madaktari walianza kumtuhumu kuwa aliwahi kutoa mimba hapo awali, ukweli ni kwamba binti mwenyewe ni bikira na hajawahi kupandwa mbegu na mume yeyote hivyo ilimshangaza sana yeye na wazazi wake kwa kukutwa na hali hiyo ambayo imezoeleka kwa aina Fulani ya class ya wanawake, yaani waliokwisha kuzaa au waliochelewa kushika mimba.

Alifanyiwa operesheni ya kuondoa uvimbe ule na hivi sasa anaendelea vyema kupata nafuu, bahati ilikuwa upande wake kwani kizazi kimenusurika kunyofolewa. Na yule mke wa rafiki yangu ambaye ni mwanabodi mwenzetu humu anaendelea vyema baada ya kufanyiwa operesheni ya kutoa uvimbe katika kizazi chake.

Na pia leo hii chuoni pale lecture room niliwauliza wanachuo wenzangu kuwa endapo wanafahamu au kumfahamu mtu (mwanamke) yeyote ambaye amewahi kupata matatizo ya uvimbe katika kizazi, karibu darasa zima walikiri kuwa walishahusika katika kesi hii ya uvimbe, ingawa walinishangaa wakidhani labda nitatoa solution, ila nilifanya hivyo just kuweza kujenga hoja yangu hii na kuiweka JF ambapo we dare to talk openly.

HATARI YENYEWE

Hatari ninayoiona hapa ni namna ambavyo tatizo hili linakua kwa kasi, ninadhani kuwa labda hata wewe unaweza ukawa unawafahamu wanawake kadhaa ambao walipitia chumba cha upasuaji kuondoa uvimbe katika kizazi. Ninapata shaka sana kwa ukuaji wa kasi wa tatizo hili, nimejiuliza maswali mengi bila majibu,
• Je ni matokeo ya matumizi ya madawa ya uzazi?? (lakini wengine waliofanyiwa upasuaji hawajawahi kutumia hizo dawa)
• Je ni matokeo ya matumizi ya vyakula au bidhaa zilizokwisha muda?

I mean labda ni chakula kilichopita muda wake dukani, au cosmetics zilizokwisha muda, au juices na aina ya vinywaji ambavyo havina ubora utakiwayo (naamini wengi humu wanafahamu kuwa juice aina ya delmonte ya box huwa ina kawaida ya kuumuka ktk mazingira ya joto).
• Vipi kuhusu junk food? (sasa hivi chakula kikuu cha wabongo ni likely to chips-yai au kuku)
• Je inawezekana haya magari tunayonunua (mitumba) kutoka Dubai ambapo yanakuwa yanatoa moshi mchafu kwa ozone na ozone za matumbo ya kina mama?
•

Au inawezekana ni mpango madhubuti kwa malengo madhubuti ya jamii iliyozoea kuexploit kutumia mbinu hii chafu ili iweze ku-exploit na kuvuka lengo la exploitation?

Ninapata shaka sana kwa ustawi wa taifa la kesho maana kama muda unavyozidi kusogea na tatizo linaongezeka pasipo kushtukiwa, tunaweza tukawa ndiyo kizazi cha mwisho cha jamii yetu.

Ninaamini kuwa masuala kama haya yamo ktk uwezo wa serikali na vyombo vyake vya usalama kuweza kutuhakikishia sisi walipa kodi uhai na ustawi wetu kama TAIFA. Nimeiweka hapa pia iwe kama chanzo cha utafiti wa kina. Au iwezekane kuwa ni uoga wangu tu…..

Naamini kuwa kuna wanabodi waliobobea katika masuala ya afya na wanaweza kutupatia ufafanuzi wa suala hili, na kama kuna mwenye data azimwage humu ili kujua ni wangapi wanafahamu au wamekumbwa na zahama ya uvimbe katika kizazi?

INATISHA
INAKATISHA TAMAA
INAUMIZA AKILI

Prepared By: Msanii
 
...nadhani unazungumzia uvimbe ambao kwa kitaalamu unaitwa Fibroids,

Fibroids are tumours that grow in the uterus (womb). They are benign, which means they are not cancerous, and are made up of muscle fibre. Fibroids can be as small as a pea and can grow as large as a melon. It is estimated that 20-50% of women have, or will have, fibroids at some time in their lives. They are rare in women under the age of 20, most common in women in their 30s and 40s, and tend to shrink after the menopause.

Although the exact cause of fibroids is unknown, they seem to be influenced by oestrogen. This would explain why they appear during a woman's middle years (when oestrogen levels are high) and stop growing after the menopause (when oestrogen levels drop).

According to US studies, fibroids occur up to nine times more often in black women than in white women, and tend to appear earlier*. The reason for this is unclear. Also women who weigh over 70kg may be more likely to have fibroids. This is thought to be due to higher levels of oestrogen in heavier women.

In the past, the contraceptive pill was thought to increase the risk of fibroids, but that was when the pill contained higher levels of oestrogen than it does today. Some studies suggest that the newer combined pill (oestrogen and progestogen) and the mini pill (progestogen only) may actually help prevent or slow the growth of fibroids.

...Ushauri wa bure unaotolewa na madakitari wetu Tz ni kuwahimiza dada zetu wazae mapema, na hata wakishafanyiwa upasuaji pia inawalazimu kupata ujauzito within 6months! kaaazi kweli kweli.
 
Fibroids are tumours that grow in the uterus (womb). They are benign, which means they are not cancerous, and are made up of muscle fibre. Fibroids can be as small as a pea and can grow as large as a melon. It is estimated that 20-50% of women have, or will have, fibroids at some time in their lives. They are rare in women under the age of 20, most common in women in their 30s and 40s, and tend to shrink after the menopause.

Although the exact cause of fibroids is unknown, they seem to be influenced by oestrogen. This would explain why they appear during a woman's middle years (when oestrogen levels are high) and stop growing after the menopause (when oestrogen levels drop).

According to US studies, fibroids occur up to nine times more often in black women than in white women, and tend to appear earlier*. The reason for this is unclear. Also women who weigh over 70kg may be more likely to have fibroids. This is thought to be due to higher levels of oestrogen in heavier women.

In the past, the contraceptive pill was thought to increase the risk of fibroids, but that was when the pill contained higher levels of oestrogen than it does today. Some studies suggest that the newer combined pill (oestrogen and progestogen) and the mini pill (progestogen only) may actually help prevent or slow the growth of fibroids.

If I compare African women and European women in terms of weight, we African do weigh much due to type of foods we eat and ignorance of exercises, that is one reason and also our tradition on morphology build-up of the women; that men like an African women with big bottom, which is just for sexual desire, so this cultivate women build up their behind stocks for sexual attraction to men. This is my asumption.
 
lakini hii hali siyo tishio??
i mean ukifananisha na kansa ya matiti, tunaiweka ktk hatari (threat) daraja lipi??
wasi wasi wangu ni kuwa endapo hakutakuwa na juhudi za makusudi kuwanusuru wanawake wetu basi inawezekana wengi wakapata matatizo haya ya uvimbe (Fibroids) ktk kizazi. Au kitaalam hali hii ina threats gani kwa unborn baby??
 
bubu,
research shows that fibroids may lead to cancer. 1 out of 100 fibroids may lead to cancer, this is an alarming issue.

I have also seen many close friends being operated to remove fibroids.

The real cause of fibroids is not known, but the following are said to be facilitating the growth of fibroids,

1. Hormonal imbalance:
God has created a body with its own natural hormones, anything taken that imposes artificial hormones to the body leads to imbalance in the hormone.Kumbuka contaceptives nazo ni artificial hormones. (sipendi kuongelea sana contaceptives ila in short zina lots of effects)

2. Weight:
unene maana yake mtu na high level of cholesterol which can accumulate as fat globules inceasing environment for fibroids to gwow.

3. Kemikali:
Matumizi makubwa ya kemikali kama madawa ya kulevya, sigara, dawa kali (hata contraceptives pia ni kemikali kali)

4.Heredity. If your mother or sister had fibroids, you're at increased risk of also developing them.

5.Race. Black women are more likely to have fibroids than are women of other racial groups. In addition, black women have fibroids at younger ages, and they're also likely to have more or larger fibroids.

6.vyakula:
too much proccesed foods,like canned foods.these foods have lots of chemicals.

7. Aina ya maisha(lifestyle)
todays lifestyle is based on eating, driving a car, sitting on office chair, sleeping.This does not leave us a chance to exercise.

8. Kutokuzaa muda mrefu
Mungu ameumba mwili wa mwanamke ubebe mtoto, sasa kama uterus haipati nafasi ya kumhost kiumbe hiki, uterus itajiwekea kamtoto kake that is hizi fibroids. Masista wengi wanapataga fibroids cause they dont give birth.

ushauri:
tuangalie aina ya vyakula tunavyokula, tufanye mazoezi na tuzae kwenye umri sahihi wa uzazi ie 20-35.
 
Nashukuru sana kwa posts zenu naamini kuwa nimeanza kueleimika na how will i contribute changes to my wifey.
Ila nadhani pia iwepo kampeni ya kitaifa kuuelezea umma kuwa hii ni threats kwa wanawake. And i thought kuwa ktk women's day wangekuwa wana addrss issues like thins badala ya kufikiria kuhusu mgawanyo wa madaraka pekee....
If am quite right
 
Ni kweli kabisa nafikiri kuna umuhimu wa kuanzisha hii campaign kama ile ya mewata.
 
...i bet ur right, wanawake wa kileo hasa wa mijini si kama wale wa miaka hiyo, ambao kubwa kwao lilikuwa kuolewa, na kuzaa Kwanza. Wanawake wengi wa kileo (kwa mtizamo wangu) wanajipa 1st priority "kujiwezesha" kwanza.

By the time wanaanza kufikiria kuwa na familia tayari wengi wao umri ushagota kwenye 30s.

1. Hormonal imbalance:
God has created a body with its own natural hormones, anything taken that imposes artificial hormones to the body leads to imbalance in the hormone.Kumbuka contaceptives nazo ni artificial hormones. (sipendi kuongelea sana contaceptives ila in short zina lots of effects)

ushauri:
tuangalie aina ya vyakula tunavyokula, tufanye mazoezi na tuzae kwenye umri sahihi wa uzazi ie 20-35.

Sahihi kabisa Kinyau, hata kwenye vitabu vya dini (kwa wenye imani zao) wanawake wanashauriwa kuolewa mapema nadhani ili kujiepusha na madhara kama haya. Maisha ya kisasa ambayo kina dada licha ya lishe "mbovu" (Unbalanced diet), wakichangia na overeating and drinking, wanapitia dhahma kama Contraceptives, Condoms, Abortions, Multiple sexual partners, STDs (sexually transmitted Diseases) ambayo yote kwa namna moja au nyingine naamini yanachangia muongezeko wa maradhi hayo.
 
nadhani pia changing of behavior will do
But wanabodi mnafikiri kuwa hali hii itaweza kuwa combacted??
Najua kuna wataalam humu, nauliza iwapo wataalam wanasema kuwa 20-50% of women wame au watapitia hali hii ya kuwa na uvimbe katika vizazi vyao, je hali hii inaweza kuwa reduced au mpaka isubiriwe kuwa janga la Taifa??
 
Hii Ndiyo Shule Tunayoitaka Hapa Jf ..........sio Kukaa Kuyatetea Mafisadi....!
 
Fibroids are tumours that grow in the uterus (womb). ...... They are rare in women under the age of 20, most common in women in their 30s and 40s, and tend to shrink after the menopause.... [/FONT][/COLOR][/SIZE]

Wakubwa,
leo nimekuja na facts zingine ambazo zimeniogopesha kidogo,
Ni kuwa mke wa mwana JF mwenzetu ambaye jumapili alifanyiwa operation ya kutoa uvimbe ktk kizazi ambaye umri wake unakaribia miaka 55 to 57 aliwahi kufanya test na kugunduliwa kuwa ana uvimbe tangu akiwa na miaka 16 (very teen). Lakini alipewa madawa ya kutumia and kwa miaka over 40 ameishi na kupata watoto wawili bila ya kustukiwa kuwa ana uvimbe unadevelop. Kitisho nilichokiona sasa ni kuwa endapo wanawake wakipewa elimu na kukubali kufanyiwa scanning itagundulika kuwa wengi wana uvimbe au matatizo ya kuelekea huko.
Kusema ukweli sipendi wala sintofurahisshwa na serikali isipochukua hatua kuhusu hili maana kama ilizembea kwa ukimwi, kimeta na TB basi ianze kuchukua hatua isisubiri JANGA LA TAIFA, naamini pia kuna watakaofaidika na tatizo hili likikua, ni heri kukinga kuliko kutibu.

Madaktari siwaoni kuchangia humu au sisi wote ni madokta wa siasa?? kumbukeni siasa bila watu (hai) haitowezekana....
 
Ni kweli kabisa nafikiri kuna umuhimu wa kuanzisha hii campaign kama ile ya mewata.

Naweza kusema MEWATA wanajitahidi ktk swala la Ca breast screening & therapy LAKINI in reality that name shd be changed to MEWADA yaani Med Women's Assoc of Dar maana ukicheki ni madaktari wa Dar tu ndo wanafanya yote bila kuwahusisha wenzao wa mikoani au hata basi wenzao ktk hospitali za rufaa. Wangeweza fanya hivyo kampeni nyingi zingeweza fanyika kwa wakati 1, yaani screening ya matatizo ya kina mama ktk kambi 1.
Ni maoni tu wakuu...najua wapo MEWATA members JF
 
HATARI KUBWA KWA USTAWI WA TAIFA

Kweli hili ni swali la kutisha hasa kwetu akinana. Kwa vile sababu za chanzo chake hakijulikani. Na kwamba it is more common in women of African origin and overweight. Ingawage mimi si daktari ningependa kuchangia machache tu.

1.Healthier life style eg. regular exercising,healthy eating which most of us do not do will help.

2.Women to make sure that they do regular health check ups to make sure that their bodies are in good health eg. Cervical smear etc. and always seek second opinion if they are not happy with the first.

3. More importantly is for women to raise more awareness about important things concerning womens health like this issue here.

Lastly, women should learn more about investing on their health rather than trivial things such as mikorogo which do damage their health and pockets as well.
 
Hii kali
Nadhani mwenye macho haambiwi sikia. Ila pamoja na NIA nzuri ya kuwasaidia akina mama nadhani pia wanasaidia akaunti zao maana as you know serikali haiwalipi madaktari vyema hivyo ule mradi labda unaweza ukawa na kafaida positively kwa wahusika wa pande zote. Ila hili la kutowahusisha mabingwa wa mikoa inazusha utata au labda huko mikoani hakuna hao mabingwa wa masuala ya KIMEWATA...
 
Kweli hili ni swali la kutisha hasa kwetu akinana. Kwa vile sababu za chanzo chake hakijulikani. Na kwamba it is more common in women of African origin and overweight. Ingawage mimi si daktari ningependa kuchangia machache tu.

1.Healthier life style eg. regular exercising,healthy eating which most of us do not do will help.

2.Women to make sure that they do regular health check ups to make sure that their bodies are in good health eg. Cervical smear etc. and always seek second opinion if they are not happy with the first.

3........

Lastly, women should learn more about investing on their health rather than trivial things such as mikorogo which do damage their health and pockets as well.

Lakini naamini kuwa hapa wahusika wanaweza wasiione htari yenyewe.
Nadhani pia lile suala la watu kupima afya zao (general examination) lipewe msukumo na serikali ili kuokoa baadhi ya matatizo yanayoweza kuzuilika.

3. More importantly is for women to raise more awareness about important things concerning womens health like this issue here.
Nadhani pia hizi siku za wanawake duniani au mothers day pawepo na forums ambazo zinazungumzia women and health, Unajua bila afya hata hizo asilimia hamsini za usawa hazitakuwa na maana.

Bado ninahofu kuhusu vimbe za vizazi ktk wombs za wanawake
 
Nina mfanyakazi (house maid) ambaye anasaidia kazi hme kwangu, juzi alipata dalili za malaria, wifey akaniambia kuwa itabidi tumpe hela akanunue dawa kwani alimuuliza akamtajia how she treats malaria akiwa kwao. Nilimkatalia nikamwambia ampe fees aende hospital apate vipimo na tiba swadakta.
Aliporudi niliomba kuangalia cheti chake, pamoja na mambo mengine nikakuta alipimwa uzito na ikaread kilo 75. Just imagine binti wa miaka 18 ana uzito wa kilo 75 tena andunje (mfupi kuliko madenge). ikabidi nimkalishe chini wifey kumweleza threats za uzito na kimo pamoja na age. Ndipo mkewangu akaniambia kuwa mara nyingi amekuwa akimuona anapata shida kupumua (mapafu sio ushuzi), nikapata kitisho kingine kuwa asije akawa amepata BP au any other threat than BP. Nadhani pia nimegundua kipindi kidogo tangu afike binti anapeleka menu inayotosheleza watu wanne kwa single session. Aminia kuwa hakuna kiporo kinachotupwa and luck enough tabia ya kauvivu anayo.
Je wanabodi inapokuwa hali kama hii inaweza nayo kuattribute Kivimbe cha Uzazi?? Ninawaza kufikia maamuzi ya kumtuma kwao kwani naona dalili ya kutobadilika na store ya msosi inakatika kama maji jangwani....
 
...mnh!? sasa hapa peshaanza nukia vumba! ...au unawasiwasi keshapata ujauzito!?

Hapana, usimtimue kazi! ushauri nasaha kuhusu afya yake, akiwa fit hata kauvivu katamuondoka!
 
Kwa uzoefu wangu (utu uzima dawa), maelezo yako yana dalili nyingi za mimba ndani yake. Kama mwenyewe hujacheza faulo hapo basi yawezekana wenzio au vijana wa hapo mtaani kwako washachangamkia tayari, hizo sasa ni dalili za matokeo. Mpelekeni hospitalini mkakamilishe majibu, na lolote mtakalokuta humo timizeni wajibu wenu!
 
Mkuu Kithuku
Nadhani nashawishika na post yako kuhusu uwezekano wa mimba. Na kwa kuwa nyendo hazikuwa ktk ukweli nilishafikia kuhisi hivyo na hatua zimeshachukuliwa.
Concern yangu ni kuwa inaonesha wengi wa wabongo hatuna tabia ya kuchunguza afya zetu ambapo tunaishi ktk mazingira hatarishi kushambuliwa na magonjwa.....
Nakushukuru tena Kithuku na ninakuthibitishia huwa sifanyagi faulo kwani najiheshimu na ninayaheshimu majukumu...
 
...mnh!? sasa hapa peshaanza nukia vumba! ...au unawasiwasi keshapata ujauzito!?

Hapana, usimtimue kazi! ushauri nasaha kuhusu afya yake, akiwa fit hata kauvivu katamuondoka!

Mkuu mchongoma
nilishaona vijana wasioeleweka wanaanza kunizoea mtaani nikaamua leo kumrejesha kwao kwani hali ilishaanza kujionesha. Halafu ktk maadili yangu ni kuwa kazi na mapenzi haviendi pamoja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom