Hatari kubwa: Moto wa California ni NWO AGENDA 21-2030

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,118
2,000
sasa wazee wa Illuminati,Deep state,wazee wa new world order wamechachamaa kwenye mambo mengi kama ushoga,abortion washamaliza kuna hii agenda yao ya kuanza kupunguza population
na hawa jamaa DEEP STATE hawatanii aise ,sasa huu moto wa california watu ndo wamestuka sasa hivi kwamba haukuwa wa kawaida
nitaweka picha hapa chini,kilichostua sana ni ile footage ya jana iliyoonyesha watu wakijaribu kuescape kwenye gari likalipuka
Huu moto umesababishwa na kitu wanaita energy weapons sio mara ya kwanza kwani hata tsunami hawa jamaa wana uwezo wa ku trigger,wali trigger tetemeko la haiti na hata lile la iran in 1978 tena linapiga hadi magnitude 7.2
Moto ulianzishwa maeneo yasiyokuwa na watu wengi ili wakifika kwenye makzi ya watu tena huko wamejaa mastaa wa Hollywood watu wapate nafasi ya kukimbia probably wasione na ushahidi ila kuna picha zimetoka UTA JUDGE MWENYEWE
Ila hawa wazungu ni nyoko sana soon vinchi maskini vitapigwa na hizi weapons walahi khaaaaaaa
Moto natural ni hii picha ya,masizi au weusi wa kuungua unabaki lakini hizo za california zote hakuna kitu kama hicho
2.PNG
zilizobaki judge mwenyewe
6.PNG
5.PNG
4.PNG
3.PNG
 
Duduvwili

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
2,305
2,000
Duuuh mkuu kwa hyo moto huo hauachi rangi nyeusi?plz tujuzane kwa kina wengine wageni katika medani hizi
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
10,255
2,000
Hilo eneo halikaliwi na maskini kuwa umbali wa Km moja kuna vibanda 500 na kila kibanda kina watu hadi kumi,

ni ngumu kupunguza population kwenda kuua sehemu ambayo nyumba hadi nyumba kuna distance ya hadi km 10
 
BINOTO

Member
Oct 24, 2018
85
125
Basi huo moto ungewaka hapa kwetu, vyombo vyetu vya kuokoa ktk majanga vingepondwa hatari!
 
lwamu

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
927
1,000
Washindwe kuwaua waafrka huku,waanze kuuwana wao,hizo n conspiracy 2
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,118
2,000
Huo moto hauwezi kupunguza idadi ya watu kwa sababu mpaka sasa watu walifariki ni 63 tu labda uzungumzie majanga kama tsunami ,tetemeko nk ambayo huua watu wengi kwa wakati mmoja
test hiyo baba,hawakuwa na nia ya kuua maelfu ya watu ,kwenye zile za baharini ku trigger tetemeko na tsunami walifanikiwa kwa hiyo hata leo nchi zisizo na ulinzi wa bahari kuu kama TZ wanaweka vitu vyao kwenye ocean floor baada ya wiki kadhaa kitu kina activate ile posta yote mnaisahau bonge la tsunami..jama wana hadi GAY BOMB walitaka watumie IRAQ 1991 wakahairisha,likipigwa enemy soldiers wanaanza kugeuzana,ni balaa hao jamaa
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,459
2,000
Hawana uwezo wa kupambana na Mwenye Enzi Mungu walahi
Hivi hivi wangesha tumaliza zamani sana walahi
Hawatuwezi tena walahi na sasa Mwenye Enzi Mungu yuko upande wetu milele walahi
 
kwa-muda

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,174
2,000
test hiyo baba,hawakuwa na nia ya kuua maelfu ya watu ,kwenye zile za baharini ku trigger tetemeko na tsunami walifanikiwa kwa hiyo hata leo nchi zisizo na ulinzi wa bahari kuu kama TZ wanaweka vitu vyao kwenye ocean floor baada ya wiki kadhaa kitu kina activate ile posta yote mnaisahau bonge la tsunami..jama wana hadi GAY BOMB walitaka watumie IRAQ 1991 wakahairisha,likipigwa enemy soldiers wanaanza kugeuzana,ni balaa hao jamaa
Jamani kufa kupo na natural calamities zipo kwa hiyo tuache conspiracy theories za ajabu.... Kwa hiyo wanyama walipohama kukimbia Tsunami kabla haijatokea waliona hicho kifaa cha kutrigger tetemeko baharini?
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,118
2,000
Jamani kufa kupo na natural calamities zipo kwa hiyo tuache conspiracy theories za ajabu.... Kwa hiyo wanyama walipohama kukimbia Tsunami kabla haijatokea waliona hicho kifaa cha kutrigger tetemeko baharini?
ni juu yako kuamini au kukataa boss
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom