Hatari::Forum ya TACAIDS yatangaza Ngono hadharani.Live Porn Video

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
159
Wakuu heshima mbele,
niliskuwa napitia tovuti ya TACAIDS NA NIikaenda katika link ya forum na huku ndipo nikakuta picha za ngono. http://www.tacaids.go.tz/modules/phpBB2/viewtopic.php?t=8107&sid=507f4c1bd005c25b591b50242afa59bf

hii yote inaonesha jinsi pesa yetu inavyoliwa na wahuni na Mafisadi,Wanatoa pesa nyingi kudevelop website na wanashindwa kuweka moderator wa Forum.hata kuedit website yao.Jambo la pili waliingizwa changa la Macho na Watu wa UCC ambao waidesign website hiyo kwamba watawekewa forum ,ila UCC wameshindwa kucutomize hata Phpbb2.

Nachofahamu UCC wanafanya webiste kuanzia $ 8,000-22,0000,sasa sijui hii iligharimikiwa sh . ngapi?na ni utumbo mtupu.

suala la Pili UCC wamekuwa wkipewa kutengeneza website ila wanarudia layout hiyo hiyo kwa kila website

angalia website ya National Audit Office www.nao.go.tz na hii ya www.tacaids.go.tz na www.nimr.go.tz ,hakuna ubunifu wanabadilisha contents tu.

Suala lingine angalia na webiste ya National Auidt haina habai ambazi ni za hivi karibuni,najiuliza hao wafanyakazi ambao ni systems analysts wanafanya kazi gani zaidi ya kukimbilia semina?
 
Mkuu gembe kweli hii ni hatari, lakini mainly ni kuweka watu wenyemawazo mgando ktkl hizi agency, wao kila siku wanawaza semina, kongamano n.k, the able ones utakuta wamekuwa frustrated na basi mambo yanaenda tu. Usije ukashangaa ukaambiwa moderator ni mkurugenzi mwenyewe!!!!! Lakini pia dot.com gov employees bado ni mtego!!!!!!!
 
Mkuu Gembe, thread na contents zako kidogo zinakinzana, ume base zaidi kwenye UCC na photocopy za design za website wanazozitengeneza kuliko porno katika tacaids.
Kuhusu porno, si unajua mambo ya forums ze sem as darhotwire et al, ni vema kuwashitua kuwa website yao imeingiliwa, si unajua wako busy na kupambana na ukimwi!
 
Mkuu Gembe, thread na contents zako kidogo zinakinzana, ume base zaidi kwenye UCC na photocopy za design za website wanazozitengeneza kuliko porno katika tacaids.
Kuhusu porno, si unajua mambo ya forums ze sem as darhotwire et al, ni vema kuwashitua kuwa website yao imeingiliwa, si unajua wako busy na kupambana na ukimwi!
Mkuu umenifurahisha
 
Hawa jamaa inabidi wa-upgrade forum yao. Ukiangalia version ya phpbb wanayotumia utajua tatizo lao. Inaeleweka katika fani hii kwamba forum ya phpbb ina security loopholes kibao kama mtu hafuatilii mabadiliko ambayo hutangazwa mara kwa mara.

Kama Kasana alivyosema, inabidi jamaa washtuliwe. Tatizo hata contact info ya TCAIDS ni vigumu kupatikana. Shauri yao sasa! Hii ni nzito, yaani aibu tupu.
 
Hawa jamaa wa UCC lazima wa-upgrade hiyo phpbb forum. Ukiangalia version wanayotumia ni ya zamani. Tatizo la phpbb ni kwamba imejaa security loopholes. Kila mara inabidi uiwekee patches ambazo hutangazwa kwenye mtandao wao. Inaonyesha UCC hawana system ya kufuatia mabadiliko ya kasi yanayotokea kwenye taaluma hii. Kama Kasana alivyokomenti, ni vizuri kuwashtua jamaa.

Rungu, Hilo swala hapo juu linaibua mengi, mojawapo kimfano ni 'usifanye ngono kama hujui faida,gharama, athari na matokeo yake'..... katika hilo, naona waliamua kuanzisha website bila kujua gharama na athari zake... walifikiria faida na matokeo tu....

Gembe, nimependa criticism yako. Inapendeza kwa kweli, na itakuwa mahili na maradufu zaidi pale utakapokuwa unatoa alternatives ya vitu unavyo criticise. Well done bruv!!

SteveD.
 
Kama kuna mwana JF ana mobile ya MD wa TACAIDS Dr. Fatma Mrisho au mfanyakazi mwenye authority basi amtumie haya ni mambo ni aibu kwa Tanzania- sii mambo ya kushabikia na kukaa pembeni!
 
Ni aibu manake ninavojua na kusikia ni kuwa hao jamaa wana helo nyingi sana kutoka kwa wafadhili, wak nini wasiajiri watu wa uhakika na kutengeneza vitu vya uhakika, ama ndo wanatufanya tuanze kuhisi kuna mambo ya 10%? Hivi hizi PhBb sio free kweli?
 
Asante Vijana wangu wa hapo UCC kwa kupita hapa na kuamaua kuweka version mpya ya phbb2.Naona mnaendelea kucustomize na sasa inavutia na naamini mtakuwa mmepata fundisho.na ninaamini mtafanikisha.Mkishamaliza naomba mnitumie e-mail mkomboziufisadi-at-yahoo-dot-com.na nitawapa Mwanga Zaidi.
wakuu mnaweza sasa kuangalia forum hii katika link hii.
http://www.tacaids.go.tz/modules/discussion/index.php

Ole naomba u close hii topic.JF we dare talk openly!

naomba kutangaza ushindi kwa kumkoma Nyani Giladi.
 
Mkuu Gembe, thread na contents zako kidogo zinakinzana, ume base zaidi kwenye UCC na photocopy za design za website wanazozitengeneza kuliko porno katika tacaids.
Kuhusu porno, si unajua mambo ya forums ze sem as darhotwire et al, ni vema kuwashitua kuwa website yao imeingiliwa, si unajua wako busy na kupambana na ukimwi!

Hahahahahaha!!!!! Hiyo inafanana na ule usemi wa dawa ya moto ni moto. Kuzima UKIMWI kwa kuigiza hadharani yale ya vyumbani.
 
Tehe tehe!

Naona kuna mtu kawatonya... wameitoa haraka haraka mkuu!

Naona kuna uzembe fulani ulifanyika hapo. LOL

./MwanaHaki
 
Tehe tehe!

Naona kuna mtu kawatonya... wameitoa haraka haraka mkuu!

Naona kuna uzembe fulani ulifanyika hapo. LOL

./MwanaHaki

Sana tu, hata mie nilitaka kuiona forum yao jana lakini naona walikuwa wameshaiondoa.
Hiyo ndiyo kazi ya Jamboforums bwana!
 
Back
Top Bottom