Hatari: 98% ya Apps za wabongo zimetengenezwa na mtu mmoja. Huyu hapa

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Pole na kazi.
Kama developer wako wa app siyo mwenye hii namba +919780110865 basi mshukuru Mungu.

kama imepita kwa huyu dada na ina fb ads basi itafungiwa Interstitial ads kwanza baadaye itapigwa jumla na fb.

Wanaojiita Tz developers wengi wanatumia huyu dada,

Baadaye nitatoa sababu.
 
Hebu fafanua kwa kina kulikoni tena?
Pole na kazi.
Kama developer wako wa app siyo mwenye hii namba +919780110865 basi mshukuru Mungu.

kama imepita kwa huyu dada na ina fb ads basi itafungiwa Interstitial ads kwanza baadaye itapigwa jumla na fb.

Wanaojiita Tz developers wengi wanatumia huyu dada,

Baadaye nitatoa sababu.
 
Umeropoka mkuu,

no research, no data, no right to speak.

Binafsi namjua jamaa yupo chuo ama kamaliza mwaka huu katengenezea application watu wengi tu kwajili ya kupiga pesa za google, ni zile app zinazoleta notifications pale blogger atavyoweka post kwenye blog yake,
 
Pole na kazi.
Kama developer wako wa app siyo mwenye hii namba +919780110865 basi mshukuru Mungu.

kama imepita kwa huyu dada na ina fb ads basi itafungiwa Interstitial ads kwanza baadaye itapigwa jumla na fb.

Wanaojiita Tz developers wengi wanatumia huyu dada,

Baadaye nitatoa sababu.
Weka picha na jina lake nimfahamu.

Au unataka kumuharibia kazi.?

Au ni unapromote?
 
Back
Top Bottom