HATARE USIPITWE NA HII NI NOUMA

Jun 12, 2017
54
9
JAMAA ALIMPENDA BINTI WA KILOKOLE JINSI YA
KUMWINGIA IKAWA NGUMU AKAAMUA ASOME
VIFUNGU VINGI VYA BIBLIA ILI AMKAMATE
KIRAHISI MAZUNGUMZO YAO YALIKUWA HIVI::
Mwanaume: sister mambo
Sister: mambo kwa yesu
Mwanume: Sister samahani . . . unampenzi?
Sister: hapana sihitaji mpenzi!
Mwanaume: mwanzo 2:18 mungu akasema sio
vema mwanaume akabaki peke yake nitamfanyia
msaidizi.
Sister: Lakini Mimi sikupendi . . . .. . nampenda yesu!
Mwanaume :1yohana 4:20 MTU akisema
anampenda mungu naye humchukia ndugu yake ni
mwongo kwamaana asiyempenda ndugu yake
amwonaye atampendaje mungu asiyemwona?
Sister: Nitaaminije kwamba maneno yako uongeayo
ni kweli
Mwanaume: mathayo 12:34-36mtu mwema katka
akiba njema ya moyo wake hutoa mema na MTU
mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya
Ila mimi Kinywa changu huongea maneno
yaliyoujaza moyo wangu
Sister:: nitaaminije hayo uongeayo ni kweli?
Mwanaume:: Marko 13:41 mbingu na nchi zitapita
lakini maneno yangu hayatapita kamwe
Sister:: mbona wako wako wanawake wengi sana
kwanini umeniambia Mimi tu??
Mwanaume:: mithali 31:29 binti za watu wengi
wamefanya mema lakini wewe umewapita wote!
Sister:: ni nini kilichokufanya unipende mimi na si
wengne nimekuvutia nini ?
Mwanaume ::wimbo bora 4:7 uu mzuri sana ndani
yako Hamna hila
Sister::: ni kweli? Mimi sio mzur wa kupendwa na
wewe !!
Mwanaume::::mithali 31:30 upendeleo hudanganya
na uzur ni ubatili Bali mwanamke amchae bwana
ndiye atakaye sifiwa
Sister ::: ni nini kitatokea nikikubali na kusema ndio!
Mwanaume ::: mwanzo 2:4 mwanaume atawaacha
wazazi baba na mama ataambatana na mkewe na
hao wawili hawatakuwa wawili tens Bali mwili
mmoja.
Sister ::imekuwaje unajua sana maandiko utafikir
mchungaji
Mwanaume :: Joshua 1:8 kitabu hiki cha torati
kisiondoke kinywani mwenu Bali yatafakali maneno
yangu mchana na usiku ndipo utakapo zifanikisha
njia zako
Sister :: yaah!! Nakuona unampenda sana mungu
Mwanaume:: zabur 34:8 onjeni mwone kuwa bwana
ni mwema heri MTU yule anayemtumainia
Sister. ::mmmh bas nipe muda nifikirie kuhusiana na
hili
Mwanaume ::: wafilip 4:8 hatimaye mambo yeyote
yaliyo kweli ya staa ya haki yenye kupendeza yenye
sifa njema na wema wowote yatafakalini hayo
Sister ::: nimekubali nakupenda nami pia
Mwanaume :: ufunuo 22:21 Amen
TOA MAONI YAKO NA SHARE UMEIONAJE???
RESPECT
 
Back
Top Bottom