Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,868
- 6,480
Kwa mlio na kumbukumbu, j'5 kama sikosei nilileta ka- thread ambako niliwaomba ushauri kuhusu bi dada flani hivi anaekuja(ga) kuweka pesa kazini kwangu..
Sasa basi leo nikiwa natoka church, mara ikaingia text "B uko wapi?" nikamjibu ndo nafka hom nikitoea ibaadani.. sasa basi kulingana na mimi kuwa busy juma zima siku ambayo nakuwa nje na kazi ni siku ya leo ambayo nakuwa nimepumzika kwa ajiri ya sabato..
Basi buana, kama nilivyokuwa nimemuomba no. zake akanipa, na kumtaka kuwa naye kimahusiano(bado hajanijibu chochote), jana nilimuomba leo aje tupige story za kawaida tu maana nitakuwa na mda.. mtoto kaja mpaka maghetto.
tumepiga story kama dk 15 hv akaanzisha mada amabayo imenichanganya mpaka hivi sasa.. yeye anadai nihamie nyumba ya umeme wakati mimi kwa upande wangu hua nipo busy wakati wote yaani hua natoka asubuhi saa1 na kurudi usiku saa6, so nikifka ghetto ni kuoga na kulala hadi asubuhi yake tena, kwa iyo nikihamia chumba cha umeme nitakuwa nalipa bill ya umeme 4nothing.
Sasa basi wadau naombeni mnishauri, bi dada wa watu bado hajatoa jibu la moja kwa moja kama amenikubalai ombi lang la kuwa nae, ila anadai hawezi kuwa na mtu ambaye naishi nyumba isiyo na umeme eti kwa kigezo cha kama akiwa anakuja kunisabahi atakuwa akiboeka kukaa sehemu ilio kimya maana hata ka- music ana ka TV hakatakuwa kakim'burudisha.
Swali langu ni je, nihamie nyumba ya umeme ili nimfurahishe mchumba, ama nisihamie kitu ambacho kitamuudhi shemela/wifi yenu nifanye nini!!? Ushauri tafadhari..
Sent using Jamii Forums mobile app