Kuna mke wa mtu tunapendana, ila hataki kunipa mzigo

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Habari wadau,

Story ipo hivi, nina date na mke wa mtu tumetokea kupendana kweli yaani lakini huyu mwenzangu nikimuomba game amekuwa msumbufu sana na adai ananipenda sana lakini linapokuja suala la kutoa penzi anapata shida sana kufanya hili jambo kwani yeye ni mtu wa ibada sana.

Penzi langu mimi nayeye limeanza tu hivi karibuni nilivyoamishwa dodoma kikazi tukatokea kupendana lakini ananibania sana game anasema ataanzaje huo mchezo wa kuchepuka kwani yeye anaogopa sana hakuwahi fanya na pia hataki kunipoteza maana ananipenda sana na mimi kumuacha ishakuwa ngumu maana tumeshazoeana sana halafu alivyomkorofi hataki kuniona niko na mahusiano mengine

Wakuu msaada, tafadhali nipo njia panda hapa.
 
Habari wadau, story ipo hivi nina date na mke wa mtu tumetokea kupendana kweli yaani lakini huyu mwenzangu nikimuomba game amekuwa msumbufu sana na adai ananipenda sana lakini linapokuja suala la kutoa penzi anapata shida sana kufanya hili jambo kwani yeye ni mtu wa ibada sana, penzi langu mimi nayeye limeanza tu hivi karibuni nilivyoamishwa dodoma kikazi tukatokea kupendana lakini ananibania sana game anasema ataanzaje huo mchezo wa kuchepuka kwani yeye anaogopa sana hakuwahi fanya na pia hataki kunipoteza maana ananipenda sana na mimi kumuacha ishakuwa ngumu maana tumeshazoeana sana alafu alivyo mkorofi hataki kuniona niko na mahusiano mengine wakuu msaada. tafadhari nipo njia panda hapa.
Wee ebu acha uteenager bwana...wee nenda kagegede papuchi nyingine huyo ipi siku ataileta mwenyewe
 
Back
Top Bottom