Hataki kuolewa na mimi mpaka nimle tigo!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*******************************************
Mimi ni kijana ambaye nimetokea kumpenda sana binti fulani aishiye Dar. Tumefahamiana kwa muda usiopungua miaka miwili sasa.

Tumekuwa ni marafiki wazuri kiasi cha kutembeleana mara kwa mara! Kwakuwa umri wangu nao umeenda, niliamua kumweleza 'rafiki' yangu huyo kwamba nimevutiwa naye na ningependa kuunganishwa naye tuwe mke na mume!

Binti aliniambia nimpe muda kwani suala la ndoa sio la kulifanyia uamuzi wa papara!

Siku ya siku alinipigia simu kwamba anaomba twende pamoja kupata chakula cha usiku (dinner).

Nilikubali na tulienda! Baada ya chakula aliniambia kwamba yuko teyari kunipa jibu la ombi la ndoa!

Basi nilipatwa na mshituko kwa maneno niliyoyasikia! Aliniambia kwamba 'yuko teyari kuolewa na mimi endapo tu nitakuwa teyari kum-mega tigo'...

Niliumia sana moyoni kwani binti huyu ninampenda sana. Nilimuuliza kwanini anataka 'hiyo kitu' lakini alisema hahitaji kujibu maswali kwani hayuko polisi!

Nilichukua uamuzi wa kumwambia kwamba mimi 'siko teyari' kufanya tendo hilo 'najisi'...

Kwahasira binti huyo aliinuka na kuondoka! Sikuweza kumkimbilia kwani ilibidi nilipie 'bill' kaunta na ndipo nilipotoka nnje sikumkuta!

Ni wiki 3 sasa zimepita hataki kuongea na mimi na hata nikimpigia simu hapokei! Kwakifupi nimechanganyikiwa!

Ndugu wanajamii, nifanyeje? Inawezekana huyu binti ananijaribu? Je, nikubali kum-mega tigo?

 
Mmmh I doubt the authenticity of this story.,inaonekana kama ishu fulani ya kusadikika.
 
Haingii kwenye akili yangu kabisa! Kama ni kweli, basi huyo ni ibilisi na atakuwa amefanyiwa hivyo mara kibao. Achana naye, kama utashindwa kumuacha uje kuna atakayekuwa akikusaidia hiyo kazi. Au mshauri aende Mombasa, Ujerumani, Uingereza au Amerika, ataolewa bila shaka.
 
Umbea huo, sasa unatuambia sisi maswala yako binafsi tukusaidie nini? wewe ni shoga nini? kama akupakupa tigo na wewe huitaki kwa nini uendelee kuoa?
 
Hicho kicheche mazee. Unatangaziwa kupewa tigo ndio ndoa ifungwe nina wasiwasi hata upstairs hayuko normal....Hii kubwa kabisaaa.
 
kama ni kweli iko hivyo huyo ameesha uzoea huo mchezo sasa anataka akubambikie ili usistukie baadae nawe uuendeleze angalia nini Mungu kwako
 
sasa kama unampenda kiasi cha kukuchanganya akili
si umpe tu ile kitu roho yake inapenda bana?!
 
sasa kama unampenda kiasi cha kukuchanganya akili
si umpe tu ile kitu roho yake inapenda bana?!
Hakika Huwezi kuacha kula samaki eti kwa sababu umpendaye alizama ziwani...
 
huyo mwanamke anakufikishia ujumbe kuwa yeye ni mmegwa tigo mahiri, hatakiwi kuolewa huyo.
tafuta mwingine mwenye staha na heshima zake.
 
Hahahaha hii unaipeleka kikusadikika hivyo hiyo .....

Mtoa hoja!
Shida iko wapi jamaa kuanzia kula bata?


Binafsi nisingeona shida kama hilo ombi lingetolewa baadaye kidogo. Jamaa alituma ombi la kuoa na wala siyo kuonja na pamoja na kupewa jibu la ndiyo binti amepitiliza na kumrusha ukuta. Kwa jinsi alivyokosa uvumilivu, huyo binti hawezi kuwa mwanamke wa kuoa. Inawezekana baada ya ndoa atakuja na maombi mengine ya ajabu. Na siku akimwomba jamaa amletee mshikaji wake ili mmoja ende njia ya uzima na mwingine motoni atajibu nini? Kijana hana haja ya kuchanganyikiwa, aende akatoe sadaka kwa Mungu wake kwani huyo shetani ameshindwa katika hilo jaribio na aanze upya. Ipo siku atampata mjukuu wa malaika na siyo hao wa ibilisi!!!.
 
Back
Top Bottom