Hataki kunipa talaka

Mamy K

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,849
9,883
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.

Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
 
Nenda ustawi wa jamii wilayani.
 
Nipe namba yako nasisi tuchat kimahaba tena wakat yupo jirani mwenyewe atakaa sawa
 
Tafuta mchepuko akupe mimba atakuacha mwenyewe tu
 
Umewafumania wakizini?
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.

Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
 
Ni haramu mwanamke wa kiislamu kuomba talaka bila ushahidi wa kutosha.
Kama wewe ni mkristo imekula kwako maana ndoa hiyo imefungwa na mbinguni so ni mpaka kifo kiwatenganishe.
 
Nipe namba yako nasisi tuchat kimahaba tena wakat yupo jirani mwenyewe atakaa sawa

Watu mshaanza kuchangamkia fursa? Unajua anaweza kukupa kweli hiyo namba, kama kuchat tu anataka talaka atashindwa vipi kukupa namba yake ya kilongalonga, changamka aisee!
 
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.

Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
Umeshapata mzamini mwingine nn...
 
Talaka hutolewa na mahakama. Lakini usikurupuke. Jaribu kutafuta kusuluhisha tatizo kwa namna iwezekanavyo. Talaka iwe last resort
 
Ndoa ndoano.. Ubaki hapo Lea mtoto,labda kma mumeo hakutaki hapo inabid tu ujiongeze uondoke
 
Back
Top Bottom