Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,613
- 225,217
Kumbe nafaa kuwa wife material? akhsante mkuu.Daah we ni hatari unafaa kuwa wife material.
Nimekubali msimamo wako.
Sasa wewe Unaye tayari huyo wife material, maana msimamo wa huyo dada ndio msimamo wangu,
Mungu akupe nini tena?
Kuna watu wanakushauri umuache,sasa ukimuacha unaenda kutafuta nani mwingine???