Hataki kunionyesha asilimia zote kuwa ananipenda

  • Thread starter Use brain Heriel
  • Start date

Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,014
Likes
1,152
Points
280
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,014 1,152 280
Anadai ni kwa sababu ya wanaume ambao amekuwa akiwaonyesha kikamilifu kuwa anawapenda sana wameishia kumtenda , naumia sana kwa nini ananifanyia hivyo
NIACHANE NAE AU NIENDELEE NAE
NISHAURINI
 
Alwatanbhai

Alwatanbhai

Member
Joined
May 1, 2013
Messages
52
Likes
61
Points
25
Age
25
Alwatanbhai

Alwatanbhai

Member
Joined May 1, 2013
52 61 25
Vumilia tu na wewe ndo wakumfanya aweze kukupenda zaidi
 
Ocran

Ocran

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2017
Messages
463
Likes
510
Points
180
Ocran

Ocran

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2017
463 510 180
Anakutesa ? Hakujali ? Ebu funguka kipi kinakupa wasi wasi ? Au papuch hupati ?
 
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,014
Likes
1,152
Points
280
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,014 1,152 280
Anakutesa ? Hakujali ? Ebu funguka kipi kinakupa wasi wasi ? Au papuch hupati ?
Papuchi zaidi ya 50 times bro ,ila anaact distant , hanitafuti mpaka me nimtafute, usipomtumi text hakutumiiii hata zaid ya 1day
 
Ocran

Ocran

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2017
Messages
463
Likes
510
Points
180
Ocran

Ocran

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2017
463 510 180
Papuchi zaidi ya 50 times bro ,ila anaact distant , hanitafuti mpaka me nimtafute, usipomtumi text hakutumiiii hata zaid ya 1day
Apa kuna tatizo sio bure kaa chini ongea nae kwa kina, mchunguze kwa makini sana kama hana madudu yoyote uko nje basi mtafutie mshauri akili ikae sawa
 
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,014
Likes
1,152
Points
280
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,014 1,152 280
Duuh kuna asilimia kubwa huyo binti anapenda kuenjoy na wewe sex but akawa na mtu mwngine
Duh am gone but nini brother huu mwez wa6 tupo in rship nimefanya uchunguzi sanaaa hana mwanaume mwingine but naumia nimezungumza nae many times why anafanya hvyo anasema anajkkuta tu anafanya hvyo
 
Alwatanbhai

Alwatanbhai

Member
Joined
May 1, 2013
Messages
52
Likes
61
Points
25
Age
25
Alwatanbhai

Alwatanbhai

Member
Joined May 1, 2013
52 61 25
Duh am gone but nini brother huu mwez wa6 tupo in rship nimefanya uchunguzi sanaaa hana mwanaume mwingine but naumia nimezungumza nae many times why anafanya hvyo anasema anajkkuta tu anafanya hvyo
Pole sana kaka ila jarib kuongeza ukaribu kwake yan uwe mtu wa karib saaana kuliko hapo awali,jiweke kwake karibu kam vile ndo umemuona mara ya kwanza na kumtongoza naamin utapata mengi
 
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,014
Likes
1,152
Points
280
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,014 1,152 280
Pole sana kaka ila jarib kuongeza ukaribu kwake yan uwe mtu wa karib saaana kuliko hapo awali,jiweke kwake karibu kam vile ndo umemuona mara ya kwanza na kumtongoza naamin utapata mengi
Ok bro let me try
 
The Dark Father

The Dark Father

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
836
Likes
905
Points
180
The Dark Father

The Dark Father

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
836 905 180
Ukweli ni kwamba hajakupenda kisawasawa.

Hata mtu aumizwe vipi, akizamishwa tena lazima ajiachie, trust me.
 
God iz bae

God iz bae

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2017
Messages
524
Likes
1,027
Points
180
God iz bae

God iz bae

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2017
524 1,027 180
Pole sana mkuu
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
16,063
Likes
29,290
Points
280
Age
75
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
16,063 29,290 280
Unataka upendwe au unataka ngono?
 
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2,867
Likes
3,989
Points
280
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
2,867 3,989 280
Anadai ni kwa sababu ya wanaume ambao amekuwa akiwaonyesha kikamilifu kuwa anawapenda sana wameishia kumtenda , naumia sana kwa nini ananifanyia hivyo
NIACHANE NAE AU NIENDELEE NAE
NISHAURINI
Mkuu, mwanaume ahitaji kupendwa. Ni utii ndio hitaji la kwanza kwa mwanae kutoka kwa mwanamke, na ili mwanamke akutii unapaswa wewe ndie kwanza umpende...
Sifa kubwa ya mwanamume ni yeye kumpenda mwanamke. Baada ya hapo utaona matokeo yake....
 
Forum statistics

Threads 1,249,431
Members 480,660
Posts 29,698,250