Hataki kuachana na ex wake

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu

Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye

Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine

Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana

Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake

Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake

Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?

Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
 
hizi mambo ndo mimi huwa sitaki kuziendekeza!! kile kitendo cha kukamatwa mara ya kwanza ndo kumuacha hapo hapo huwa sifikirii mara mbili mbili
Nilimpa nafasi ajirekebishe na kumuonya,na alivyozidi nikamuacha ila akaja akaomba msamaha mbele ya ndugu yake ila cha ajabu bado anaendelea
 
"Mbona gari unalotaka kununua ni bovu, utaweza kulifanyia matengenezo ya kila mara?" Kauli ya huyo dada mke wa X-wake na mpenzi/mchumba wako.

NB: Yajayo yanaweza yasifurahishe.
 
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu

Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye

Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine

Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana

Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake

Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake

Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?

Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
Usipate tabu nenda kwa huyo mchumba au mke wa huyo jamaa mtongoze nawe mega kisela baada ya hapo mpige chini huyo mwanamke wako
 
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu

Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye

Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine

Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana

Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake

Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake

Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?

Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
Seriously haujui anatafuta nini kwa x wake? Au umeamua kujitoa ufahamu
?
 
Kanywe balimi ukimaliza lia mpaka hasira ziishe. Alafu msamehe tena
 
Back
Top Bottom