G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,475
Alokudanganya nani....hebu jaribu kufatilia kilichomkuta yule rais wa FIFA kisha uje utudanganye na mambo ya mikataba ya kimataifa unayoijua wewe.Hata ukirubuniwa, ukishatia sahihi umekwisha! Tatizo unadhani mikataba ya kimataifa ni sawa na talaka zenu za uswahilini, leo unatoa talaka kesho unamrudisha! Nakubaliana na jitihada za Rais Magufuli, lkn hii iwe ni kwa tahadhali ili tusije pata hasara juu ya hasara!
Kwanzia mwanzo wa mchakato wa maandalizi ya mkataba hadi mwaisho wa makubaliano/kutiliana saini, ikibainika matumizi ya rushwa kutumika ili kulazimisha makubaliano basi hapo upande mmoja wapo kati ya wahusika anayo haki ya kuuvunja mkataba.
Dunia nzima hakuna nchi inayounga mkono rushwa wala ukwepaji wa kodi, hivyo acha washughulikiwe tu kwa uhalifu.