Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,754
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period
Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga
Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period, utawafahamu tu kwa michango yao
Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa