Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,638
- 12,061
yaani mwanafunzi wa kidato cha tano anaulizwa taja vyuo vikuu vitano unavyovifahamu Tanzania, anasema UDSM, UDOM kisha anafikiria hapo kama sekunde arobaini ndo anataja SAUT halafu kashindwa kuendelea, halafu watu wanacomplain mwigulu mwanaye kusoma feza, hapana kwakweli!