Hata umpe nini mwanamme haridhiki??

Wengi wao hawaridhiki,hata umpe mapenzi yote utajuayo,uwe mzuri ndani na nje still hawataridhika kutulia na mwanamke m1,wana kamsemo kao et "huwezi kula maharage kila siku" waridhikao ni wachache mno. Wengi ni vururuvuru tu
hii kitu mie nimekuwa nikiwambia siku zote, Men are polygamist in nature!. kama unavoona majogoo na mabeberu yanavotaka kila jike liwe lake na binadam ni vile vile. ni wachache tu wanaoweza kuidhibiti hii hali na kubakia na mwanamke mmoja (am 1 of them).
 
hata kama huridhiki lazima ukubali kuridhika na ulichonacho kwamba this is what I have

may be na mimi ndio hicho huwa nafanya.......saa nyingine huwa

nawaza sana haya mapenzi hapa kila m=mwanaume anaepita kwenye desk

langu hapa job namuangalia nawaza moyon huyu nae haridhikag ana totoz nje

Umeshajaribiwa vya kutosha lakini??

Babu DC!!
 
hii kitu mie nimekuwa nikiwambia siku zote, Men are polygamist in nature!. kama unavoona majogoo na mabeberu yanavotaka kila jike liwe lake na binadam ni vile vile. ni wachache tu wanaoweza kuidhibiti hii hali na kubakia na mwanamke mmoja (am 1 of them).


Ndugu yangu unajitafutia mabalaa,

Pamoja na kuwa huu ndiyo ukweli, ila hawataki kabisa kusikia kauli ya namna hii....

Nikiwambia kuwa men were not made for only one woman huwa wanadau wa jukwaa hili wananinunia week nzima...lol!!

Babu DC!!
 
The more u try to prove to sm1 tht u love them,the more they lose the love they have for u,mwanaume usimpe kila kituu and ukazubaa,rimemba,the lower the supply the higher the demand

Unakubali kwamba kuna alternative products??


Babu DC!!
 
Kwani wewe mkeo huwa anakupa nini ambacho huwezi kukipata kwa mwanaume? mbona tunaulizana maswali ya ajabu ajabu!!
unafikiri kuna jipya zaidi ya lile la 6x6
 
kukaba ndo kazi ya beki ukiachia striker akapita tegemea kucheza ligi ya mbuzi isiyo na faida.........

Utawazuia vipi na wale wanao piga heart trik!!? anyway, hayo mambo ni kumuachia MUNGU ukianzisha ligi ndani ya nyumba ushindi ni kwa mashabiki!
 
leo sijaona thread ZAKO utaanzisha saa ngapi!!!!!!!

ka haina maana si ungepita kimya kimya.....wenye kujua maana yake wameelewa nashangaa we
kutoka ulikotoka huyo na kudandia treni kwa MBELE.......nna mashaka na jinsia yako......
very illogical comments means very low thinking capacity like that you gave,uthibitisho wa jinsia yangu hauwezi kuwa wa maneno ama maandishi, if you claim to be a woman I have my penis to prove my gender over your vagina and there you can come and give evidence of my gender.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom